Mchungaji Msigwa kada wa CCM anapata wapi nyaraka za maazimio ya kamati kuu ya CHADEMA?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
48,475
Reaction score
70,102
Mmoja wa waandishi wa habari leo ndugu Marwa amesema amewahi kuona maazimo ya kamati kuu ya CHADEMA kama yalivyo yakiwa mezani kwa kada wa CCM Mchungaji Msigwa ili ku preempt hotuba za viongozi wa CHADEMA kuzungumza baadaye. Mbowe ameuliza waandishi habari Msigwa ni rafiki wa nani!
 
Mbowe amelijibu hilo kimzaha sana, kiasi hata yule mwandishi muuliza swali kuonyesha kutokubaliana naye.

Ilionyesha muuliza swali anafahamu chanzo cha document kuvuja tofauti na jibu la Mbowe, lakini Mbowe akalirushia hilo kwa 'rafiki wa Msigwa' aliyepo CHADEMA.
 
Mbowe anajiepusha sana kumpakaza Lissu matope.
 
Mbowe amelijibu hilo kimzaha sana, kiasi hata yule mwandishi muuliza swali kuonyesha kutokubaliana naye.

Ilionyesha muuliza swali anafahamu chanzo cha document kuvuja tofauti na jibu la Mbowe, lakini Mbowe akalirushia hilo kwa 'rafiki wa Msigwa' aliyepo CHADEMA.
Huyo Marwa ni hater wa Lissu inawezekana hakuna kitu kama hicho bali ameitengeneza tu kumuangushia jumba bovu Lissu. Hata siku Lissu anatangaza nia Marwa alimuuliza Lissu maswali ya kizushi na hata usoni alikuwa amekasirika na kutetemeka kwa jazba kuonyesha chuki kwa Lissu
 
Mmoja wa waandishi wa habari leo ndugu Marwa amesema amewahi kuona maazimo ya kamati kuu ya CHADEMA kama yalivyo yakiwa mezani kwa kada wa CCM Mchungaji Msigwa ili ku preempt hotuba za viongozi wa CHADEMA kuzungumza baadaye. Mbowe ameuliza waandishi habari Msigwa ni rafiki wa nani!
Itakuwa kwa Lissu. Maana anasema ndio rafiki yake wa damu
 
Mbowe amelijibu hilo kimzaha sana, kiasi hata yule mwandishi muuliza swali kuonyesha kutokubaliana naye.

Ilionyesha muuliza swali anafahamu chanzo cha document kuvuja tofauti na jibu la Mbowe, lakini Mbowe akalirushia hilo kwa 'rafiki wa Msigwa' aliyepo CHADEMA.
Yule mwandishi alikuwa anauliza maswali ya mtego na hili ni mojawapo. Mbowe alipouliza huyo kada mkubwa wa CCM ni nani hakutaka kumtaja kwa sababu alijua kuwa Msigwa hana credibility. Mwenzake alipomtaja Msigwa hakuweza kubisha. Sasa hivi karibuni kuna kiongozi mkubwa wa Chadema kasema hadharani kuwa Msigwa ni rafiki yake. Na kabla ya Msigwa kuhama alikuwa karibu nae. Na hata baada ya kuhama hajawahi kusema kuwa alikosea. Kwa akili nepesi nyepesi zisizo na ushahidi ni kuwa nyaraka hizo Msigwa alipewa na rafiki yake.

Amandla...
 
Kwani kukiri kuwa na urafiki na Msigwa ni dhambi ya kumhusisha mtu na kuvuja kwa nyaraka?
Mbona kuna watu wapo kamati kuu wake zao wameasi na ni miongoni mwa wale COVID19 , Kwanini wasiwe hao?
 
Mmoja wa waandishi wa habari leo ndugu Marwa amesema amewahi kuona maazimo ya kamati kuu ya CHADEMA kama yalivyo yakiwa mezani kwa kada wa CCM Mchungaji Msigwa ili ku preempt hotuba za viongozi wa CHADEMA kuzungumza baadaye. Mbowe ameuliza waandishi habari Msigwa ni rafiki wa nani!
Ni rafiki wa waenguaji na wasimamizi wasaidizi
 
Back
Top Bottom