Mchungaji Msigwa kada wa CCM anapata wapi nyaraka za maazimio ya kamati kuu ya CHADEMA?

Mchungaji Msigwa kada wa CCM anapata wapi nyaraka za maazimio ya kamati kuu ya CHADEMA?

Kwani kukiri kuwa na urafiki na Msigwa ni dhambi ya kumhusisha mtu na kuvuja kwa nyaraka?
Mbona kuna watu wake zaowameasi na ni miongoni mwa wale COVID19 na wao ni wajumbe wa Kaati Kuu? Kwanini wasiwe hao?
Wewe PakiJinja umepigaje hapo mbona kama umepiga kwenye mshono kabisa?
 
Attachments

  • IMG-20241214-WA0050.jpg
    IMG-20241214-WA0050.jpg
    9.9 KB · Views: 1
Kwani kukiri kuwa na urafiki na Msigwa ni dhambi ya kumhusisha mtu na kuvuja kwa nyaraka?
Mbona kuna watu wake zaowameasi na ni miongoni mwa wale COVID19 na wao ni wajumbe wa Kaati Kuu? Kwanini wasiwe hao?
Msipende kukimbilia kujibu kila kitu. Ni nani katika hao COVID-19 ni mjumbe wa Kamati Kuu ambae anaweza kupata nakala ya hotuba ya Mbowe aliyopanga kuitoa mwezi huu?

Amandla...
 
i may not like Mr Lissu but i know for sure is not a snitch…..
 
Mbowe ameuliza waandishi habari Msigwa ni rafiki wa nani!
Kwani mwenza wa "Mazungumzo ya Maridhiano" ni nani; ambaye ndiye sasa anaendesha CHADEMA kwa kutumia 'remote'!
Mbowe anapo kimbilia maswala haya asisahau ni kiasi gani alicho zama kwenye tope yeye mwenyewe.
 
Madalali wapo wenguli,labda wenje na troops yake.Hilo alishindikani kama la kwa Abdul liliwezekana
 
Msipende kukimbilia kujibu kila kitu. Ni nani katika hao COVID-19 ni mjumbe wa Kamati Kuu ambae anaweza kupata nakala ya hotuba ya Mbowe aliyopanga kuitoa mwezi huu?

Amandla...
Ukitarajia kupata jibu unalo litaka wewe, usishangae kuwa kuna majibu ya ushawishi zaidi ya hilo unalo litaka wewe.
watu wake zaowameasi na ni miongoni mwa wale COVID19 na wao ni wajumbe wa Kaati Kuu? Kwanini wasiwe ha
Hujaeleza wewe jibu hili unalionaje!
 
Mmoja wa waandishi wa habari leo ndugu Marwa amesema amewahi kuona maazimo ya kamati kuu ya CHADEMA kama yalivyo yakiwa mezani kwa kada wa CCM Mchungaji Msigwa ili ku preempt hotuba za viongozi wa CHADEMA kuzungumza baadaye. Mbowe ameuliza waandishi habari Msigwa ni rafiki wa nani!

..kwenye kamati kuu kuna rafiki wa Msigwa, anaweza kuvujisha taarifa.

..kwenye kamati kuu kuna waume wa Covid-19 wanaoweza kuvujisha taarifa.

..kwenye kamati kuu kuna marafiki wa Abduli, wanaweza kuvujisha taarifa.

..mwisho wa siku taarifa ya maazimio ya kamati kuu hutolewa kwa umma, sasa kuna faida gani " kuivujisha "?
 
Mliongalia hotuba ya Mbowe,ni kweli TBC nao wamerusha live?
Kama ni kweli,basi Chadema ni Chama shikizi cha CCM kama ACT.
 
Msipende kukimbilia kujibu kila kitu. Ni nani katika hao COVID-19 ni mjumbe wa Kamati Kuu ambae anaweza kupata nakala ya hotuba ya Mbowe aliyopanga kuitoa mwezi huu?

Amandla...

..inabidi kujua taarifa ya maazimio ya kamati kuu inaandaliwa na nani.

..pia inapitia katika mikono ya nani kabla haijatolewa kwa umma.

..lakini taarifa ya maazimio inayotolewa kwa umma ina faida gani ikivujishwa?
 
Mliongalia hotuba ya Mbowe,ni kweli TBC nao wamerusha live?
Kama ni kweli,basi Chadema ni Chama shikizi cha CCM kama ACT.

..mbona hotuba ya Lissu haikutangazwa?

..mbona wagombea wao wameenguliwa kwa maelfu kama ni chama shikizi?

..umekosea kutuhumu chama kizima.
 
..inabidi kujua taarifa ya maazimio ya kamati kuu inaandaliwa na nani.

..pia inapitia katika mikono ya nani kabla haijatolewa kwa umma.

..lakini taarifa ya maazimio inayotolewa kwa umma ina faida gani ikivujishwa?
Taarifa ya maazimio ya kamati kuu inaandaliwa na sekretariat. Lakini mtu anaweza kuipata kwa masekretari. Na hata inawezekana kuwa jamaa alitegeshewa.

Swali ni kwa nini aliyeuliza aliona ni muhimu kumueleza Mwenyekiti kuwa aliipata kabla ya taarifa kutolewa kwa umma. Na aliyempatia ni kada MKUBWA wa CCM. Ni gotcha question lililobuma.

Amandla...
 
Mliongalia hotuba ya Mbowe,ni kweli TBC nao wamerusha live?
Kama ni kweli,basi Chadema ni Chama shikizi cha CCM kama ACT.
Hotuba ya leo ilikuwa ina umuhimu wa pekee maana kila mtu alikuwa anataka kujua kama Mbowe atagombea au la. Angesema hagombei ungekuwa ushindi mkubwa kwa wale waliokuwa wanataka kumshinikiza amuachie Lissu hiyo nafasi.

Amandla...
 
Back
Top Bottom