CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Wewe PakiJinja umepigaje hapo mbona kama umepiga kwenye mshono kabisa?Kwani kukiri kuwa na urafiki na Msigwa ni dhambi ya kumhusisha mtu na kuvuja kwa nyaraka?
Mbona kuna watu wake zaowameasi na ni miongoni mwa wale COVID19 na wao ni wajumbe wa Kaati Kuu? Kwanini wasiwe hao?
January siyo mbali tuache demokrasia ichukue mkondo wakeLissu kakosea sana, ushawishi wa wanaharakati umemponza
Anajijua alivyo mchafuMbowe anajiepusha sana kumpakaza Lissu matope.
Lissu anaingizwa chaka na wanaharakatiAnajijua alivyo mchafu
Msipende kukimbilia kujibu kila kitu. Ni nani katika hao COVID-19 ni mjumbe wa Kamati Kuu ambae anaweza kupata nakala ya hotuba ya Mbowe aliyopanga kuitoa mwezi huu?Kwani kukiri kuwa na urafiki na Msigwa ni dhambi ya kumhusisha mtu na kuvuja kwa nyaraka?
Mbona kuna watu wake zaowameasi na ni miongoni mwa wale COVID19 na wao ni wajumbe wa Kaati Kuu? Kwanini wasiwe hao?
Shida yenu ni kuwa mnadhani siasa ni kupakana matope.Anajijua alivyo mchafu
Aisee. HongeraMsipende kukimbilia kujibu kila kitu. Ni nani katika hao COVID-19 ni mjumbe wa Kamati Kuu ambae anaweza kupata nakala ya hotuba ya Mbowe aliyopanga kuitoa mwezi huu?
Amandla...
Kwani mwenza wa "Mazungumzo ya Maridhiano" ni nani; ambaye ndiye sasa anaendesha CHADEMA kwa kutumia 'remote'!Mbowe ameuliza waandishi habari Msigwa ni rafiki wa nani!
Ukitarajia kupata jibu unalo litaka wewe, usishangae kuwa kuna majibu ya ushawishi zaidi ya hilo unalo litaka wewe.Msipende kukimbilia kujibu kila kitu. Ni nani katika hao COVID-19 ni mjumbe wa Kamati Kuu ambae anaweza kupata nakala ya hotuba ya Mbowe aliyopanga kuitoa mwezi huu?
Amandla...
Hujaeleza wewe jibu hili unalionaje!watu wake zaowameasi na ni miongoni mwa wale COVID19 na wao ni wajumbe wa Kaati Kuu? Kwanini wasiwe ha
Mmoja wa waandishi wa habari leo ndugu Marwa amesema amewahi kuona maazimo ya kamati kuu ya CHADEMA kama yalivyo yakiwa mezani kwa kada wa CCM Mchungaji Msigwa ili ku preempt hotuba za viongozi wa CHADEMA kuzungumza baadaye. Mbowe ameuliza waandishi habari Msigwa ni rafiki wa nani!
Msipende kukimbilia kujibu kila kitu. Ni nani katika hao COVID-19 ni mjumbe wa Kamati Kuu ambae anaweza kupata nakala ya hotuba ya Mbowe aliyopanga kuitoa mwezi huu?
Amandla...
Kama ana ubavu aanzishe chama lakeLissu kakosea sana, ushawishi wa wanaharakati umemponza
Mliongalia hotuba ya Mbowe,ni kweli TBC nao wamerusha live?
Kama ni kweli,basi Chadema ni Chama shikizi cha CCM kama ACT.
Taarifa ya maazimio ya kamati kuu inaandaliwa na sekretariat. Lakini mtu anaweza kuipata kwa masekretari. Na hata inawezekana kuwa jamaa alitegeshewa...inabidi kujua taarifa ya maazimio ya kamati kuu inaandaliwa na nani.
..pia inapitia katika mikono ya nani kabla haijatolewa kwa umma.
..lakini taarifa ya maazimio inayotolewa kwa umma ina faida gani ikivujishwa?
Hotuba ya leo ilikuwa ina umuhimu wa pekee maana kila mtu alikuwa anataka kujua kama Mbowe atagombea au la. Angesema hagombei ungekuwa ushindi mkubwa kwa wale waliokuwa wanataka kumshinikiza amuachie Lissu hiyo nafasi.Mliongalia hotuba ya Mbowe,ni kweli TBC nao wamerusha live?
Kama ni kweli,basi Chadema ni Chama shikizi cha CCM kama ACT.