Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wakuu,
Mambo yanaendelea kuwa ya moto kwenye Kampeni za Uchaguzi wa Serikali.
Mchungaji Msigwa ambaye alihamia CCM akitokea CHADEMA amezungumza hivi karibuni mkoani Songwe hivi karibuni.
Soma pia: Mchungaji Peter Msigwa: CHADEMA ina wanachama laki nne tu Nchi nzima
Msigwa amesema kuwa kama ambavyo alikuwa anaikosoa CCM ndivyo hivyo anaikosoa CHADEMA kwani CHADEMA ni chama cha waongo na kuongeza kuwa kuna muda walikuwa wanaandamisha watu na wengine kufariki.
=====================================
Huyu jamaa ni kama ameamua kabisa kuitosa CHADEMA inasikitisha sana!
Source: Wasafi FM