LGE2024 Mchungaji Msigwa: Kama nilivyoshambulia CCM, naishambulia CHADEMA kwa sababu ni waongo. Tumeandamanisha watu, wengine wamekufa!

LGE2024 Mchungaji Msigwa: Kama nilivyoshambulia CCM, naishambulia CHADEMA kwa sababu ni waongo. Tumeandamanisha watu, wengine wamekufa!

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Huyu tunajua kuwa watu wa kazi walimlawiti na kumrekodi ndiyo akalazimishwa kuingia CCM kwa vitisho kuwa asipoisema vibaya picha zinaachiwa hewani. Walimtatua vibaya sana hadi leo anavaa pampas ndiyo hasira zote hizi.
🤔😲😲
 
Sa
Wakuu,


Mambo yanaendelea kuwa ya moto kwenye Kampeni za Uchaguzi wa Serikali.

Mchungaji Msigwa ambaye alihamia CCM akitokea CHADEMA amezungumza hivi karibuni mkoani Songwe hivi karibuni.

Soma pia: Mchungaji Peter Msigwa: CHADEMA ina wanachama laki nne tu Nchi nzima

Msigwa amesema kuwa kama ambavyo alikuwa anaikosoa CCM ndivyo hivyo anaikosoa CHADEMA kwani CHADEMA ni chama cha waongo na kuongeza kuwa kuna muda walikuwa wanaandamisha watu na wengine kufariki.

=====================================

Huyu jamaa ni kama ameamua kabisa kuitosa CHADEMA inasikitisha sana!


Source: Wasafi FM
Sasa kaishambulia ccm hivi kwa uongo ndani ya masaa 2 anaisifia, anaiponda chadema . Sasa nani mwenye akili atamuunga mkono anachosema? Tunaamini njaa tu
 
Sa
Sasa kaishambulia ccm hivi kwa uongo ndani ya masaa 2 anaisifia, anaiponda chadema . Sasa nani mwenye akili atamuunga mkono anachosema? Tunaamini njaa tu
Kwa Msigwa wameokota Gwarasha.......ni kama Waitara.....ukishahama chadema thamani yako inakufa.

Hata useme nini hakuna anayemuamini.
 
na kuongeza kuwa kuna muda walikuwa wanaandamisha watu na wengine kufariki.

Wanasiasa buana, huwa nashangaa watu wanaopoteza muda wao kuwasikiliza...

Waliowaua hao watu ni Chadema?
 
Msigwa aandaliwe wodi pale Milembe haraka sana, vinginevyo ataokota makopo.
 
Haka kajamaa bado kanaipenda sana CHADEMA!
Yaani huko kalikoenda ni njaa tu inakasumbua.
 
Back
Top Bottom