Pre GE2025 Mchungaji Msigwa kuongea na Waandishi wa Habari baada ya kushindwa Uchaguzi wa Uenyekiti Kanda ya Nyasa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Siasa wanazo wa Zanzibar, Tzbara bado sana, Mkoloni kosa wavaa makobazi na vilemba kuzinduka mpaka leo mjerumani angalikuwa anatawala

..unakosea kusema Tzbara, jina sahihi ni Tanganyika.

..Wazanzibari wamekomaa kwelikweli, na moto ambao Othman Masoud anampelekea Dr.Mwinyi sio wa kitoto.
 
Kama heading inavyojieleza mpaka muda huu mgombea aliyeshindwa kanda ya nyasa amegoma kusema lolote, ameahidi kuita press na kuongea yote yaliyojiri kwenye huo uchaguzi kifupi hajaridhirika.
Hizi habari ni za ndani sana kaeni tayari kwa mvurugano!
kipara kipya. najua ndani ya CCM neno maadili limefutika katika kamusi yao lakini kwa huu umbeya mnashusha hadhi ya JF. Hili hapa chini ndilo tamko rasmi la Msigwa baada ya matokeo ya uchaguzi.


Hakika Chadema imetoa somo kubwa kwa chama cha mafisadi, mambuzi na wezi wa kura wa jinsi upigaji wa kura unavyotakiwa kufanyika katika nchi ya demokrasia. Komeni kuleta ujinga wenu humu.
 
Aliyesema hana imani na mrema ni msigwa,mmiliki wa kiwanda cha umbeya na asiye na maadili ni lissu 2007 Chadema ilitoa list of shame 2015 yule kinara wa rushwa na mmiliki wa richmond Marehemu Eduard Ngoyai Lowassa kama tulivyoaminishwa na chadema tukaambiwa ni msafi na deki akapigiwa kwa muktadha huo hicho chama kinaaminika kweli kuwa na demokrasia na nia ya dhati ya kupambana na rushwa!
 
Asante kwa Habari za ndani kabisa, tunazisubiri
 
Wale wali wa liwali walikula wali waliwao
 
Wacha uwongo,Msigwa ametoa hotuba baada ya matokeo na kumpongeza sugu kwa ushindi. Wewe unasema amegoma kusema neno lolote. Moderators kwa nini mnaendekeza wazushi kama huyu kiparangoto,ushahidi wa hotuba ya Msigwa uko humu. Au na nyie mna interest na huu uzushi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…