Pre GE2025 Mchungaji Msigwa: Kwa nguvu ile ile na Juhudi zile zile za CHADEMA nitazunguka nchi nzima kuelezea Utakatifu wa CCM, msidanganyike na Wapinzani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Aliyekuwa mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema na Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa Mchungaji Msigwa amesema atatumia nguvu na Juhudi zile zile za Chadema kuzunguka nchi nzima kuelezea Mazuri na Utakatifu wa CCM

Mchungaji Msigwa amewataka Wananchi wasikubali kudanganyika na Wapinzani kwani Shetani ni baba wa Uwongo

Credit: Mwanahalisi Digital
ITAMSAIDIA NINI?
 
"Si tunatumiana meseji? Aongee tu aone nitakavyoziweka meseji zake hadharani,wabeja sana" - Dr Msukuma
 
Sidhani kama atakuwa na impact kubwa ata angeruhusiwa kuzunguka mikoa yote mara kumi bado sioni akieleweka kwa wabongo.

Kuna sehemu nje ya mkoa wa Iringa hawajui Msigwa ni nini na mtu gani.Kama akina Kinana,Slow slow,Bashiru wanaweza kuzunguka bongo lakini kwenye makaratasi chama cha kijani mambo yakaenda kombo ikasubiliwa nguvu ya polisi na tume itakuwaje kwa mtu ambaye ana influence Iringa mjini tu?
 
Aliyekuwa mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema na Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa Mchungaji Msigwa amesema atatumia nguvu na Juhudi zile zile za Chadema kuzunguka nchi nzima kuelezea Mazuri na Utakatifu wa CCM

Mchungaji Msigwa amewataka Wananchi wasikubali kudanganyika na Wapinzani kwani Shetani ni baba wa Uwongo

Credit: Mwanahalisi Digital
Hana mvuto tena hapo ana kata roho pekee
 
Aliyekuwa mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA na Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa Mchungaji Peter Msigwa amesema atatumia nguvu na Juhudi zile zile za CHADEMA kuzunguka nchi nzima kuelezea Mazuri na Utakatifu wa CCM

Mchungaji Msigwa amewataka Wananchi wasikubali kudanganyika na Wapinzani kwani Shetani ni baba wa Uwongo

Soma Pia: Msigwa hana haja ya kuzunguka nchi nzima. Hana huo ushawishi na watanzania wengi hawamjui labda huko kwao Iringa

Credit: Mwanahalisi Digital
Sorry did he say utakatifu wa CCM? After kutangaza mabaya yao almost career yake yote leo anataka awasafishe? He is not serious 😂😂😂😂😂
 
Aliyekuwa mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA na Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa Mchungaji Peter Msigwa amesema atatumia nguvu na Juhudi zile zile za CHADEMA kuzunguka nchi nzima kuelezea Mazuri na Utakatifu wa CCM

Mchungaji Msigwa amewataka Wananchi wasikubali kudanganyika na Wapinzani kwani Shetani ni baba wa Uwongo

Soma Pia: Msigwa hana haja ya kuzunguka nchi nzima. Hana huo ushawishi na watanzania wengi hawamjui labda huko kwao Iringa

Credit: Mwanahalisi Digital
Endelea unazo baraka za Lissu kuiteketeza ufipa!
 
#Msigwa ameshtuka, ametoka katika usingizi mzito, ameamka sasa, ufahamu umemjia na umekaa sawa, ametoka kwenye uongofu yu hai tena kinafsi na kiroho, amelikimbia pango la walaghai na waongo, ameikimbia ghilba, ubinafsi uchoyo na umimi, yupo pahala salama zaidi, aaminiwe apewe nafsi wapo wengi baada ya kutoka kwenye uongofu wamekuwa watu bora zaidi ya awali, kongole Msigwa, songa mbele!
#power no 1.
 
Halafu alivyo mjinga hajioni km anachekesha.!
Mi nilijua atazunguka nchi nzima kunadi sera za CCM kumbe kumponda ex wake? 🤣🤣🤣
Kashindwa kumove on
Mtu wa ajabu sana

Ova
 
Back
Top Bottom