kichomiz
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 19,257
- 12,244
Hiyo ni janja ya kupatia posho tu, mtu mroho mara nyingi huwa anatamani kila kitu kiwe chakeAliyekuwa mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA na Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa Mchungaji Peter Msigwa amesema atatumia nguvu na Juhudi zile zile za CHADEMA kuzunguka nchi nzima kuelezea Mazuri na Utakatifu wa CCM
Mchungaji Msigwa amewataka Wananchi wasikubali kudanganyika na Wapinzani kwani Shetani ni baba wa Uwongo
Soma Pia: Msigwa hana haja ya kuzunguka nchi nzima. Hana huo ushawishi na watanzania wengi hawamjui labda huko kwao Iringa
Credit: Mwanahalisi Digital