Pre GE2025 Mchungaji Msigwa: Kwa nguvu ile ile na Juhudi zile zile za CHADEMA nitazunguka nchi nzima kuelezea Utakatifu wa CCM, msidanganyike na Wapinzani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hiyo ni janja ya kupatia posho tu, mtu mroho mara nyingi huwa anatamani kila kitu kiwe chake
 
Hana jipya , anatapatapa , ili kuaminika na chama chake kipya ,ila lazima kuelewa hicho chama kina wenyewe
 
Asisahau kuuleza umma pia hela bilioni moja aliyopokea toka Abdul hadi akakubali kuhamia CCM, akumbuke ushahidi tunao tunamuangalia tu anavyoweweseka,tutapasua kibuyu kimoja tu wote mnaomshabikia mtamtema mate,mwenzenu tayari ni bilionea nyie mnabaki kunukishana kikwapa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…