johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ndio maana wanaitwa nyumbu ,kila ndugu yake mbowe kwenye hiki chama ni msemaji ,kuanzia Mrema,James Mbowe,na yule chizi LemaMmh! Moja ya madhaifu makubwa ya chadema ni vijana wa chadema kutoheshimu maoni, maamuzi na mitazamo binafsi ya watu.
Kila anayehoji ama kulalamika hushambuliwa kwa matusi. Huu niuzwazwa unaokiagusha na kukiviza chama
Huruma kwa CHADEMA imekuanza lini?Chonde chonde Katibu mkuu Mnyika hebu ingilia Kati nidhamu na kuheshimiwa a kurejee ndani ya chama
Mchungaji Msigwa amesema amekaa Chadema kwa miaka 20 sasa na atahakikisha Tabia ya Mbowe kufukuza wenzake Chamani inakomeshwaMsigwa amekuwa haelewani na Mzee Mbowe kwa kuwa tu anataka mabadiliko na haswa taasisi kuendeshwa kwa minajili ya ukabila. Tunashauri Msigwa asiondoke chadema hadi kieleweka aisee.
Hapa tunatetea Haki meku πHuruma kwa CHADEMA imekuanza lini?
Ktk hili la Mbowe kung'ang'ania madaraka, dunia inajua na Mungu anajua kuwa Mbowe anazingua.Msigwa amekuwa haelewani na Mzee Mbowe kwa kuwa tu anataka mabadiliko na haswa taasisi kuendeshwa kwa minajili ya ukabila. Tunashauri Msigwa asiondoke chadema hadi kieleweka aisee.
Unatetea kama nani?Hapa tunatetea Haki meku π
Yaani ,kwa vyovyote vile tumchangie MSigwa ili aweze kuendesha mapambano ya kweli dhidi ya MZEE MBOWE na genge lake .Mchungaji Msigwa amesema amekaa Chadema kwa miaka 20 sasa na atahakikisha Tabia ya Mbowe kufukuza wenzake Chamani inakomeshwa
Msigwa kasema Chadema kuna Jasho lake wasimchezee πΌ
Chadema si wanamini kuwa Arusha na Moshi inawatosha?acheni kutoa mapovu aiseeMpango was ccm yetu kugawa kura za chadema na kuunda upinzani wenye wabunge wengi wa vyama tofauti vya upinzani naona umekamilika mapema!
Ni rasmi sasa msigwa na lisu na co kuhamia upande mwingine kisiasa!!
Kama namuona zito kabwe akisubiria Kwa hamu ili apate uungwaji mkono huko ACT!!!
Tusubiri!
Mbowe kafanya michezo ya kitoto sana acha wamkimbie.Ni rasmi sasa msigwa na lisu na co kuhamia upande mwingine kisiasa!!
Muasisi wa Chadema pale Majamatini Kisutu ππUnatetea kama nani?
Mbowe kazinguaNdio maana wanaitwa nyumbu ,kila ndugu yake mbowe kwenye hiki chama ni msemaji ,kuanzia Mrema,James Mbowe,na yule chizi Lema
Msigwa asubiri bomba la maji machafu liteme. Sifa ya MMM ni matusi ya nguoni.Ni mtifuano mkali Ukurasani X Kati ya Mchungaji Msigwa na Chawa wa Mbowe M Maranja
Mashambuliano hayo, kebehi, kejeli na kudharauliana kunaonyesha jinsi Chadema ilivyosheheni wahuni
Chonde chonde Katibu mkuu Mnyika hebu ingilia Kati nidhamu na kuheshimiwa a kurejee ndani ya chama
Ni wazi kuna ugomvi mkubwa sana Kati ya Mchungaji Msigwa na Mwenyekiti Mbowe
Mchungaji Msigwa asikilizwe kabla hajaanza kutoa Siri za michango ya Nairobi hospital
Mungu wa mbinguni inusuru TLP or sorry Chadema!
Kwako Lucas ππ₯
Mkuu kuna kila dalili atagombea ndio maana ametumia pesa chafu kuhakisha wale ambao bado hawako kwenye miliki yake kama Msigwa na Pambulu alihakikisha hawapati uongozi kwenye chamaKtk hili la Mbowe kung'ang'ania madaraka, dunia inajua na Mungu anajua kuwa Mbowe anazingua.
Na kama ktk uchaguzi wa mwaka huu atagombea tena, basi ndiyo utakuwa msumari wa mwisho wa jeneza la kuizika chadema
Ndio maana nyerere alisema ccm sio mama yeke wala baba yake. Yeye yukom kwa maslahi ya chadema wa Watanzania?! Kama yuko kwa maslahi ya Watanzania basi anaweza kuwatumikia akiwa kwenye chama chochote, iwe CUF, CCM (tayari wamemkaribisha) au ACT? Lakini kutoa kauli za hovyo kuhusu Mwenyekiti wako kisa MMM ni ukosefu wa heshima. Ana njaa kama wanasiasa wengine.Mchungaji Msigwa amesema amekaa Chadema kwa miaka 20 sasa na atahakikisha Tabia ya Mbowe kufukuza wenzake Chamani inakomeshwa
Msigwa kasema Chadema kuna Jasho lake wasimchezee πΌ
Huyu anaejiita MM ana mdomo mchafu kuliko chooMmh! Moja ya madhaifu makubwa ya chadema ni vijana wa chadema kutoheshimu maoni, maamuzi na mitazamo binafsi ya watu.
Kila anayehoji ama kulalamika hushambuliwa kwa matusi. Huu ni uzwazwa unaokiagusha na kukiviza chama