Ni mtifuano mkali Ukurasani X Kati ya Mchungaji Msigwa na Chawa wa Mbowe M Maranja
Mashambuliano hayo, kebehi, kejeli na kudharauliana kunaonyesha jinsi Chadema ilivyosheheni wahuni
Chonde chonde Katibu mkuu Mnyika hebu ingilia Kati nidhamu na kuheshimiwa a kurejee ndani ya chama
Ni wazi kuna ugomvi mkubwa sana Kati ya Mchungaji Msigwa na Mwenyekiti Mbowe
Mchungaji Msigwa asikilizwe kabla hajaanza kutoa Siri za michango ya Nairobi hospital
Mungu wa mbinguni inusuru TLP or sorry Chadema!
Kwako Lucas 😂🔥