LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 18,611
- 27,615
lini mbowe amekuwa mzee? Bado hajafikia umri wa kuitwa mzeeMzee Mbowe amesema kabwe chama hakiacha kwa CHASAKA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
lini mbowe amekuwa mzee? Bado hajafikia umri wa kuitwa mzeeMzee Mbowe amesema kabwe chama hakiacha kwa CHASAKA
Naumia Mbowe anapokula ruzuku peke yake .Chama cha familia lakini wewe unaumia, au na wewe ni mwanafamilia?
Chama cha baba mkwe kileKwani Mbowe Ndiye alianzisha Chadema? 🐼
Ukirudia kusoma comment yako utagundua kuwa unashida sehemu. Unadai unaumia Mbowe kula ruzuku peke yake hapo hapo unasema mwenyekiti wenu ukimaanisha wewe hakuhusu lakini bado unapiga kelele. Hujielewi kabisa, anyewalipa ndiyo chanzo cha changamoto. Laiti ningekuwa mimi basi leo ungelala njaaNaumia Mbowe anapokula ruzuku peke yake .
Yeye anakuwa tajiri chama kunarudi nyuma inasikitisha kwa kweli.
Ndio maana ukitaka uondoke Chadema hoji kuhusu nafasi ya mwenyekiti wa chama unatafutiwa sababu utaondoka . Yaani mnadai demokrasia ambayo nyie imewashinda.
Siku mbowe akiwa Rais wa Tz hatotoka hadi kifo jamaa yenu anatamaa sana
Yaani ulivyojibu unaonekana ni mjingaUkirudia kusoma comment yako utagundua kuwa unashida sehemu. Unadai unaumia Mbowe kula ruzuku peke yake hapo hapo unasema mwenyekiti wenu ukimaanisha wewe hakuhusu lakini bado unapiga kelele. Hujielewi kabisa, anyewalipa ndiyo chanzo cha changamoto. Laiti ningekuwa mimi basi leo ungelala njaa
Msigwa ni mfugaji wa kukuKwa nin asubiri kufukuzwq..aje tulime hapa mufindi
Pole, hata wewe una haki ya kuwa mjinga kama itakupendezaYaani ulivyojibu unaonekana ni mjinga
Kuendelea kubishana na mjinga ni kupoteza muda
Ujinga sio haki. Ujinga ni wewe unavyojiweka na nashukuru kwa kukubali hali yakoPole, hata wewe una haki ya kuwa mjinga kama itakupendeza
Mmh! Moja ya madhaifu makubwa ya chadema ni vijana wa chadema kutoheshimu maoni, maamuzi na mitazamo binafsi ya watu.
Kila anayehoji ama kulalamika hushambuliwa kwa matusi. Huu ni uzwazwa unaokiagusha na kukiviza chama
Chadema ilipaswa kujitofautisha na ccm kwa mazuriMbona hiyo ni sifa ya vijana wote katika vyama vyote.
Kwa ujumla ni kuwa Watanzania wote wana tabia zinazofanana regardless vyama vyao.
Acha unyumbu ,miaka 63 unataka kutuaminisha ni kijana ?lini mbowe amekuwa mzee? Bado hajafikia umri wa kuitwa mzee
Msigwa akomae mambo ya kuvuja jasho wanafaidi wengine aivumiliki,tuko nyuma ya msigwaMchungaji Msigwa amesema amekaa Chadema kwa miaka 20 sasa na atahakikisha Tabia ya Mbowe kufukuza wenzake Chamani inakomeshwa
Msigwa kasema Chadema kuna Jasho lake wasimchezee 🐼
Mkuu juzi sikukuelewa ulivyomlinganisha Sugu na Msigwa. Sikutaka mambo yawe mengi ila sikukuelewa tena. Sasa naanza kujakuja hiviMsigwa asubiri bomba la maji machafu liteme. Sifa ya MMM ni matusi ya nguoni.
MMM kwenye page yake ya Twitter ukimjibu kama anavyokujibu au ukimzidi point anaku-block
Kipimo cha CDM kuendelea kunawiri ni kipi?Alitoka Zito Kabwe mwenye ushawishi ndani na nje ya Tanzania Chadema ilisimama imara.Akatoka Lijuakali,Silinde na Joshua Nassari bado CHADEMA ilizidi kunawiri.MAGUFURI,MAHERA,BISWALO NA NDUGAI wakawahonga Halima Mdee,Esther na Esther Bulaya pamoja na wale wanawake wengine ubunge na pesa bado CHADEMA iliendelea kunawiri.
Sasa kama siyo haki mbona na wewe umejifanya mjingaUjinga sio haki. Ujinga ni wewe unavyojiweka na nashukuru kwa kukubali hali yako
Wewe ndio nimekuita mjinga ukasema ujinga ni haki.Sasa kama siyo haki mbona na wewe umejifanya mjinga
Inatakiwa kujengwa taasisi siyo mtu!Kujenga chama unadhani ni kazi rahisi? Muulize Zitto Kabwe atakwambia.
Walafi wanataka ready made, Mbowe ameshasurubika amewekwa jela amepewa kesi za ugaidi leo kirahisi tu awaachie uongozi mchwa waje kula pesa hata mimi siwezi kufanya ujinga huo.
Mbowe kamatia hapohapo wewe ndio Putin wetu endelea kuwanyoosha.
Huyu jamaa ni mwanaharakati uchwara.Huyu anaejiita MM ana mdomo mchafu kuliko choo
Umepata uelewa gani sasa? Hebu uweke hapa ili tuwe sawaMkuu juzi sikukuelewa ulivyomlinganisha Sugu na Msigwa. Sikutaka mambo yawe mengi ila sikukuelewa tena. Sasa naanza kujakuja hivi
Basi acha ujinga, endelea kujadili mada iliyoko mezaniWewe ndio nimekuita mjinga ukasema ujinga ni haki.
Means wewe ulishajikubali kwamba ni mjinga.