Hata mfanyeje Msigwa haondoki chadema kwa kuwa tu amekuwa mkweli dhidi ya Mzee Mbowe.Hiki chama ni cha Watanzania wote.Ndio maana nyerere alisema ccm sio mama yeke wala baba yake. Yeye yukom kwa maslahi ya chadema wa Watanzania?! Kama yuko kwa maslahi ya Watanzania basi anaweza kuwatumikia akiwa kwenye chama chochote, iwe CUF, CCM (tayari wamemkaribisha) au ACT? Lakini kutoa kauli za hovyo kuhusu Mwenyekiti wako kisa MMM ni ukosefu wa heshima. Ana njaa kama wanasiasa wengine.
Hadi wanatia kichefuchefuCHADEMA imejaa vijana wa hovyo sana .
Ndio Chawa wa Chadema haoHuyu anaejiita MM ana mdomo mchafu kuliko choo
Msigwa ashapoteza sifa ndani ya chadema, Teknolojia imemummbua, sifa zilimjaa anajiona yeye ndio chadema na chadema ndio yeye. arudi kanisani akadanganye upande huo tena siasa zishamshinda, unakaa miaka 10 nafasi hutosheki?Ni mtifuano mkali Ukurasani X Kati ya Mchungaji Msigwa na Chawa wa Mbowe M Maranja
Mashambuliano hayo, kebehi, kejeli na kudharauliana kunaonyesha jinsi Chadema ilivyosheheni wahuni
Chonde chonde Katibu mkuu Mnyika hebu ingilia Kati nidhamu na kuheshimiwa a kurejee ndani ya chama
Ni wazi kuna ugomvi mkubwa sana Kati ya Mchungaji Msigwa na Mwenyekiti Mbowe
Mchungaji Msigwa asikilizwe kabla hajaanza kutoa Siri za michango ya Nairobi hospital
Mungu wa mbinguni inusuru TLP or sorry Chadema!
Kwako Lucas 😂🔥
Nani anawafundisha matusi hawa chawa wa mzee Mbowe?Ndio Chawa wa Chadema hao
Makonda alisema hata rais anatukanwa. kwa hivyo swala la matusi ni swala la kitaifaNani anawafundisha matusi hawa chawa wa mzee Mbowe?
Unateseka na Neno " mchungaji" 😂Msigwa ashapoteza sifa ndani ya chadema, Teknolojia imemummbua, sifa zilimjaa anajiona yeye ndio chadema na chadema ndio yeye. arudi kanisani akadanganye upande huo tena siasa zishamshinda, unakaa miaka 10 nafasi hutosheki?
Sio too late mkuu,kwa muda sasa haikuwahi tokea mfuasi ya sifa za Msigwa kuonyesha tofauti dhidi ya mzee Mbowe .Hakika umewadia wakati wa ukomboziWe mnyalu mswiga umetoka ulipotoka huko na mbowe kakupa platform ya kujulikana Leo unataka kumvimbia?we unadhani Mchaga FALA?Tukiwaambia Hiko ni chama Chao Wachaga mnakuwa vichwa box kuelewa,MNAKUJA kuelewa when it's too late now.
Nateseka tena? kwani sio mchungaji?Unateseka na Neno " mchungaji" 😂
Unafiki popote upo. Enzi za Mtume wanafiki wakiswali nae pamoja kumbe ndani nafsi zao hawapo naeSio too late mkuu,kwa muda sasa haikuwahi tokea mfuasi ya sifa za Msigwa kuonyesha tofauti dhidi ya mzee Mbowe .Hakika umewadia wakati wa ukombozi
Ataiua chadema huyu jamaaMkuu kuna kila dalili atagombea ndio maana ametumia pesa chafu kuhakisha wale ambao bado hawako kwenye miliki yake kama Msigwa na Pambulu alihakikisha hawapati uongozi kwenye chama
Mnafiki hapa ni Mbowe. Mbowe ni mnafiki wa demokrasiaUnafiki popote upo. Enzi za Mtume wanafiki wakiswali nae pamoja kumbe ndani nafsi zao hawapo nae
inawezekana lkn Msigwa mnafiki zaidiMnafiki hapa ni Mbowe. Mbowe ni mnafiki wa demokrasia
Kabisa,Msigwa asiondoke hadi Mbowe anyooke sababu amezoea kuwaonea wajinga lakini si Msigwa na LissuMsigwa amekuwa haelewani na Mzee Mbowe kwa kuwa tu anataka mabadiliko na haswa taasisi kuendeshwa kwa minajili ya ukabila. Tunashauri Msigwa asiondoke chadema hadi kieleweka aisee.
Msigwa akamatie hapo hapo mpk Mbowe abadilikeKikubwa alichosema Msigwa ni kweli?
Kama ni kweli yafanyiwe kazi maana kama kaandika barua na hajibiwi tunategemea afanyaje?
Kama mtu hapati haki yake anapaswa kuidai kwa Nguvu na kwa mbinu zote kama walivyofanya Akina Nchimbi Kipindi Lowasa amekatwa.
Tena yeye Msigwa ni mwanachama wa kawaida wa CHADEMA kwa sasa sio Kiongozi Hana kikao cha kwenda kusema anasema hadharani tu.
lissu aondoke kwa sababu ya Mbowe. basi Lissu atakuwa hana akili kabisa,Kabisa,Msigwa asiondoke hadi Mbowe anyooke sababu amezoea kuwaonea wajinga lakini si Msigwa na Lissu