BARD AI
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 3,591
- 8,826
Ukiangalia Mbowe anaruka na helikopta halafu anasema mwaka huu kunja ngumi, kunja ngumi tunachukua nchi, nikimwangalia Mbowe anasema atachukua nchi hebu angalia 'line up 'yake unamwona Waziri Mkuu kwenye timu yake? Unamwona Naibu Waziri Mkuu kwenye timu yake? Unamwona Waziri wa Fedha Mwigulu kwenye timu yake pale?
Amezungukwa na wahuni halafu anasema atachukua nchi, sumu haionjwi na nimekuja hapa kuwaambia wakazi wa kanda ya ziwa kwamba achaneni na porojo na upuuzi wa CHADEMA tuendelee kumuunga mkono Mama Samia Suluhu Hassan"- Msigwa.
Soma Pia:
Aliyekuwa mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa Mchungaji Peter Msigwa Agosti 12, 2024 kwenye mkutano wa hadhara wa Katibu Mkuu wa CCM Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi uliofanyika Uwanja wa CCM Katoro, mkoani Geita.