Pre GE2025 Mchungaji Msigwa: Mbowe amezungukwa na Wahuni halafu anasema atachukua Nchi!

Pre GE2025 Mchungaji Msigwa: Mbowe amezungukwa na Wahuni halafu anasema atachukua Nchi!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hakika....

Mnyika ?!!!![emoji1787][emoji1787]

John Mrema ?!! [emoji1787][emoji1787]

TL?!! [emoji1787][emoji1787]

Amezungukwa na wagonjwa wa ile hospitali kule "DODOMA"......
Sasa ni bora uzungukwe na walio mirembe kuliko kijani wamezunguka walio bado majalalani.
 
Bora mtu baki kuwa muhuni ,kuliko Mchungaji kuwa Muhuni, kujitoa ufaham wapi ametoka .
Msigwa enzi zake zile zama za mawe ccm hata sh. 100 wasingempa ,leo kasahau yote , kasahau duniani tunapita .
Huyu asubiri pigo la Mungu , Mungu sio mwanadam
Ogopa mchungi muhuni huyo nyoka ananafuuu.
 
Back
Top Bottom