Pre GE2025 Mchungaji Msigwa: Mbowe siyo Msakata Rhumba maarufu ndio sababu hadi sasa bado yuko Jukwaani japo muda umeisha!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mchungaji Msigwa amesoma Adui Namba Moja wa Demokrasia hapa Nchini ni Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe

Msigwa amesema kuna msemo unaosema "Msakata Rhumba maarufu anajua muda wa kuondoka Jukwaani" kwa bahati mbaya Mbowe amekaa muda mrefu na hana mpango wowote wa kuondoka.

Soma Pia: Peter Msigwa: CHADEMA idhibitiwe kabla haijaleta vurugu nchini

My take; Hii sasa ni Vita binafsi

Msigwa amesema kuna msemo unaosema "Msakata Rhumba maarufu anajua muda wa kuondoka Jukwaani" kwa bahati mbaya Mbowe amekaa muda mrefu na hana mpango wowote wa kuondoka

Credit: Jambo TV

My take; Hii sasa ni Vita binafsi
Mbona yeye alitaka uenyekiti wa kanda na alishakaa mda mrefu alivyokosa ndo kaondoka.
Msigwa ni mwehu ukishakula kondoo hutabaki salama.
Huwezi kumdanganya mungu kwa mgongo wa uchungaji ili ukatafune waumini kichwa kibaki salama
 
Mchungaji Msigwa amesoma Adui Namba Moja wa Demokrasia hapa Nchini ni Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe

Msigwa amesema kuna msemo unaosema "Msakata Rhumba maarufu anajua muda wa kuondoka Jukwaani" kwa bahati mbaya Mbowe amekaa muda mrefu na hana mpango wowote wa kuondoka

Credit: Jambo TV

My take; Hii sasa ni Vita binafsi
tumechoka na post za hiki kinyago Msigwa. Abebe picha lasamia na maisha yaendelee
 
Mchungaji Msigwa amesoma Adui Namba Moja wa Demokrasia hapa Nchini ni Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe

Msigwa amesema kuna msemo unaosema "Msakata Rhumba maarufu anajua muda wa kuondoka Jukwaani" kwa bahati mbaya Mbowe amekaa muda mrefu na hana mpango wowote wa kuondoka

Credit: Jambo TV

My take; Hii sasa ni Vita binafsi
Why saying this now? He has become a loughing stork
 
Huyu jamaa anajiona famous sana nchi hii..upinzani siwapendi toka nilipogundua kuwa hawatembelei maneno yao, waongo, wabinafsi, wazandiki. Ila kwa haya yanayoendelea kwa msigwa dhidi ya Mbowe yanathibitisha chuki yangu ya kweli kwa msigwa na upinzani kwa ujumla.

Msigwa hamshambulii Mbowe kwa sababu ya maslahi ya nchi au wananchi ila anamshambulia kwa maslahi binafsi..kakosa fursa, hajapewa mgao, hana nguvu kichama..ni mule mule tu kwenye ubinafsi. Sijui huko alipo analipwa sh ngapi ili kujipaka hiki kinyesi anachojipaka..ila kama kukaa madarakani hata Kinana amekaa sana kabla hajachomoka juzi kwa hasira za mkizi.

Kama ni kutoka kwenye dansi mbona kikwete alimaliza na bado anataka kubaki kwenye dancing floor.
 
Mchungaji Msigwa amesoma Adui Namba Moja wa Demokrasia hapa Nchini ni Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe

Msigwa amesema kuna msemo unaosema "Msakata Rhumba maarufu anajua muda wa kuondoka Jukwaani" kwa bahati mbaya Mbowe amekaa muda mrefu na hana mpango wowote wa kuondoka.

Soma Pia: Peter Msigwa: CHADEMA idhibitiwe kabla haijaleta vurugu nchini

My take; Hii sasa ni Vita binafsi

Msigwa popote ulipo hiyo mimba changa ya Mbowe uliyoondoka nayo bora uichomoe tu hana mpango na wewe ndiyo maana hakujibu.
 
Huyu jamaa anajiona famous sana nchi hii..upinzani siwapendi toka nilipogundua kuwa hawatembelei maneno yao, waongo, wabinafsi, wazandiki. Ila kwa haya yanayoendelea kwa msigwa dhidi ya Mbowe yanathibitisha chuki yangu ya kweli kwa msigwa na upinzani kwa ujumla.

Msigwa hamshambulii Mbowe kwa sababu ya maslahi ya nchi au wananchi ila anamshambulia kwa maslahi binafsi..kakosa fursa, hajapewa mgao, hana nguvu kichama..ni mule mule tu kwenye ubinafsi. Sijui huko alipo analipwa sh ngapi ili kujipaka hiki kinyesi anachojipaka..ila kama kukaa madarakani hata Kinana amekaa sana kabla hajachomoka juzi kwa hasira za mkizi.

Kama ni kutoka kwenye dansi mbona kikwete alimaliza na bado anataka kubaki kwenye dancing floor.
Msigwa yupo CCM baada ya kushindwa Uchaguzi na hakuja bure amenunuliwa kama bidhaa tu na masharti aliyopewa ni kumsema Mbowe kila akishik kipaza sauti hivyo ni tumbo lake a alitumia.
 
Huyu asijibiwe anatafuta kiki,hana lolote. Wacha CCM wamchore.
 
Kwa level za Mchungaji Dr Msigwa anastahili kuwa Mgombea mwenza katika uchaguzi Mkuu ujao. Shime wanachama tumpendekeze kwenye vikao vya maamuzi na kpa Kura za ndio
 
Duh!Maisha yanaenda mbio ile mbaya.Wewe endelea kuandika hivyohivyo halafu apewe sumu "akufe"!
 
Back
Top Bottom