Pre GE2025 Mchungaji Msigwa: Mbowe siyo Msakata Rhumba maarufu ndio sababu hadi sasa bado yuko Jukwaani japo muda umeisha!

Pre GE2025 Mchungaji Msigwa: Mbowe siyo Msakata Rhumba maarufu ndio sababu hadi sasa bado yuko Jukwaani japo muda umeisha!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwa level za Mchungaji Dr Msigwa anastahili kuwa Mgombea mwenza katika uchaguzi Mkuu ujao. Shime wanachama tumpendekeze kwenye vikao vya maamuzi na kpa Kura za ndio
Kwanaa ondoa DR kwenye hilo jina. Mtu hana hata diploma? Heshimu hiyo title haipatikani kirahis
 
Inawezekana Mbowe alimtafunia Msigwa manzi yake maana ana muandama kinoma.
 
Huyu tumbili Msigwa anajichoresha sana, hayo yote anayoyaita mabaya ya Mbowe na Chadema yeye alikuwa sehemu yake kwa zaidi ya miaka 20, kama ni kuitukana CCM ameitukana sana sasa kukaza fuvu kukosoa mambo uliyoshiriki kwa zaidi ya miaka 20 ni kuonyesha kuwa hana akili ina maana kwa miaka yote hiyo alikuwa ameshikiwa akili. Msigwa asijichoshe watu wote wanajua kuwa yupo hapo kwa hela ya Abduli na Mama yake na si vinginevyo.
 
Msigwa, kumbatia Kibuyu kwa chako kwa umakini, kisha lamba asali kwa utulivu na ukimya.
 
Upinzani wangekuwa siriazi na maendeleo ya nchi wangetoboa 25..
Tatizo wote ni walewale
 
Back
Top Bottom