johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
😂😂😂😂😂Hawa ndio walitaka dola 2015. Na huyu ndio alikuwa waziri kivuli wa maliasili na utalii..😆😆😆😆
Mbona yeye alitaka uenyekiti wa kanda na alishakaa mda mrefu alivyokosa ndo kaondoka.Mchungaji Msigwa amesoma Adui Namba Moja wa Demokrasia hapa Nchini ni Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe
Msigwa amesema kuna msemo unaosema "Msakata Rhumba maarufu anajua muda wa kuondoka Jukwaani" kwa bahati mbaya Mbowe amekaa muda mrefu na hana mpango wowote wa kuondoka
Credit: Jambo TV
My take; Hii sasa ni Vita binafsi
tumechoka na post za hiki kinyago Msigwa. Abebe picha lasamia na maisha yaendeleeMchungaji Msigwa amesoma Adui Namba Moja wa Demokrasia hapa Nchini ni Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe
Msigwa amesema kuna msemo unaosema "Msakata Rhumba maarufu anajua muda wa kuondoka Jukwaani" kwa bahati mbaya Mbowe amekaa muda mrefu na hana mpango wowote wa kuondoka
Credit: Jambo TV
My take; Hii sasa ni Vita binafsi
Why saying this now? He has become a loughing storkMchungaji Msigwa amesoma Adui Namba Moja wa Demokrasia hapa Nchini ni Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe
Msigwa amesema kuna msemo unaosema "Msakata Rhumba maarufu anajua muda wa kuondoka Jukwaani" kwa bahati mbaya Mbowe amekaa muda mrefu na hana mpango wowote wa kuondoka
Credit: Jambo TV
My take; Hii sasa ni Vita binafsi
Msigwa popote ulipo hiyo mimba changa ya Mbowe uliyoondoka nayo bora uichomoe tu hana mpango na wewe ndiyo maana hakujibu.Mchungaji Msigwa amesoma Adui Namba Moja wa Demokrasia hapa Nchini ni Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe
Msigwa amesema kuna msemo unaosema "Msakata Rhumba maarufu anajua muda wa kuondoka Jukwaani" kwa bahati mbaya Mbowe amekaa muda mrefu na hana mpango wowote wa kuondoka.
Soma Pia: Peter Msigwa: CHADEMA idhibitiwe kabla haijaleta vurugu nchini
My take; Hii sasa ni Vita binafsi
Msigwa yupo CCM baada ya kushindwa Uchaguzi na hakuja bure amenunuliwa kama bidhaa tu na masharti aliyopewa ni kumsema Mbowe kila akishik kipaza sauti hivyo ni tumbo lake a alitumia.Huyu jamaa anajiona famous sana nchi hii..upinzani siwapendi toka nilipogundua kuwa hawatembelei maneno yao, waongo, wabinafsi, wazandiki. Ila kwa haya yanayoendelea kwa msigwa dhidi ya Mbowe yanathibitisha chuki yangu ya kweli kwa msigwa na upinzani kwa ujumla.
Msigwa hamshambulii Mbowe kwa sababu ya maslahi ya nchi au wananchi ila anamshambulia kwa maslahi binafsi..kakosa fursa, hajapewa mgao, hana nguvu kichama..ni mule mule tu kwenye ubinafsi. Sijui huko alipo analipwa sh ngapi ili kujipaka hiki kinyesi anachojipaka..ila kama kukaa madarakani hata Kinana amekaa sana kabla hajachomoka juzi kwa hasira za mkizi.
Kama ni kutoka kwenye dansi mbona kikwete alimaliza na bado anataka kubaki kwenye dancing floor.
Huyu asijibiwe anatafuta kiki,hana lolote. Wacha CCM wamchore.Msigwa yupo CCM baada ya kushindwa Uchaguzi na hakuja bure amenunuliwa kama bidhaa tu na masharti aliyopewa ni kumsema Mbowe kila akishik kipaza sauti hivyo ni tumbo lake a alitumia.