Huyu tumbili Msigwa anajichoresha sana, hayo yote anayoyaita mabaya ya Mbowe na Chadema yeye alikuwa sehemu yake kwa zaidi ya miaka 20, kama ni kuitukana CCM ameitukana sana sasa kukaza fuvu kukosoa mambo uliyoshiriki kwa zaidi ya miaka 20 ni kuonyesha kuwa hana akili ina maana kwa miaka yote hiyo alikuwa ameshikiwa akili. Msigwa asijichoshe watu wote wanajua kuwa yupo hapo kwa hela ya Abduli na Mama yake na si vinginevyo.