johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
WednesdayChuma kinarudi.
Minajua utakuwepo kwenye mapokezi.Wednesday
Bila kukosaMinajua utakuwepo kwenye mapokezi.
Mzee Mgaya huyo yupo Kimara ntamtumia nauli ya daladalaMinajua utakuwepo kwenye mapokezi.
Lissu is coming back health n sound... Mbaya wake ameshaoza imebakia skeleton... Matendo ya Mungu si ya binadamuMchungaji Msigwa amesema yeye ni Mwenyekiti wa Kamati ndogo ya Kamati kuu ya Lisu Home Coming na yuko jijini DSM kushirikiana na Viongozi wa Kanda ya Pwani kuandaa Mapokezi
Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu atawasili Jumatano saa 7:35 mchana
Mchungaji Msigwa amelazimika kutoendelea na Mikutano ya Musoma ili asimamie uratibu wa Mapokezi ya Lisu
Source: Clouds tv
Is this news?Mchungaji Msigwa amesema yeye ni Mwenyekiti wa Kamati ndogo ya Kamati kuu ya Lisu Home Coming na yuko jijini DSM kushirikiana na Viongozi wa Kanda ya Pwani kuandaa Mapokezi
Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu atawasili Jumatano saa 7:35 mchana
Mchungaji Msigwa amelazimika kutoendelea na Mikutano ya Musoma ili asimamie uratibu wa Mapokezi ya Lisu
Source: Clouds tv
Lissu is coming back health n sound... Mbaya wake ameshaoza imebakia skeleton... Matendo ya Mungu si ya binadamu
MbegeIs this news?
Roho haioziLissu is coming back health n sound... Mbaya wake ameshaoza imebakia skeleton... Matendo ya Mungu si ya binadamu
Alimsaliti mama yako?Ni Tanzania ambapo msaliti anafanyiwa home coming.
Rwanda walishavuka huu ujinga
Viva CHADEMA VivaMchungaji Msigwa amesema yeye ni Mwenyekiti wa Kamati ndogo ya Kamati kuu ya Lisu Home Coming na yuko jijini DSM kushirikiana na Viongozi wa Kanda ya Pwani kuandaa Mapokezi
Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu atawasili Jumatano saa 7:35 mchana
Mchungaji Msigwa amelazimika kutoendelea na Mikutano ya Musoma ili asimamie uratibu wa Mapokezi ya Lisu
Source: Clouds tv
Mama yakoAlimsaliti mama yako?