😁😁😁😁tunamkaribisha.Hata Gerskn Msigwa atakuwepo kwenye mapokezi kwa ajili ya kutoa ufafanuzi
Ila hali inavyoenda akina Garson watakuwa wamechukia sana.
Hawapendi amani wala umoja.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😁😁😁😁tunamkaribisha.Hata Gerskn Msigwa atakuwepo kwenye mapokezi kwa ajili ya kutoa ufafanuzi
Kiko vile bileChuma kinarudi.
Ndiyo mana waswahili husema "mchuma janga hula na wakwao" yule jamaa ameua Legacy yake na nduguze kwasabb ya uhayawani ule, Lazima asemwe ili wewe au yule ajifunze. Mungu fundi sana!!Haya maneno hayakupaswa yatoke kwako mkuu!!
Unaheshima na historia kubwa sana hapa JF. Tujifunze kusamehe na kuwapenda ndugu zetu waliotangulia mbele za haki japo walitenda mabaya kwetu. Haitasaidia kitu lakini maneno kama haya ni maumivu kwa wafiwa ambao ni watoto na ndugu wa Marehemu.
Msigwa ni wakala wa jiwe😁😁😁😁tunamkaribisha.
Ila hali inavyoenda akina Garson watakuwa wamechukia sana.
Hawapendi amani wala umoja.
Yule mtu alikuwa mwovu hakuna jinsi nyingine ya kumuelezea, kuondoka kwake duniani ni jambo la kushukuriwa na kila mpenda amani.Haya maneno hayakupaswa yatoke kwako mkuu!!
Unaheshima na historia kubwa sana hapa JF. Tujifunze kusamehe na kuwapenda ndugu zetu waliotangulia mbele za haki japo walitenda mabaya kwetu. Haitasaidia kitu lakini maneno kama haya ni maumivu kwa wafiwa ambao ni watoto na ndugu wa Marehemu.
kamsaliti nani?Ni Tanzania ambapo msaliti anafanyiwa home coming.
Rwanda walishavuka huu ujinga
Hakuna ubaya kabisa!Kwa kuna ubaya gani akilamba asali?
Mbona Cheyo na Prof Lipumba wanaramba muda mrefu sanaHakuna ubaya kabisa!
Kinatema Che Che eeeChuma kinarudi.
-acha uduanzi, Lissu hamuwezi kujibu hoja zake.Lissu naye tutampiga buyu la asali akifika tu airport, then lisaa limoja kabla ya kupanda jukwaani tunampa bapa moja la konyagi, baada ya hapo ni kupamba tu ilani ya CCM.
Bob huwa nadhani wewe ni mtu wa busara. Msiruhusu kauli hizi za chuki ziwatale. So waliopo wote hai ni watu wasio na ubaya na Lissu? Epuka mihemko mshana wewe huwa nahisi una umri flani wa kupevuka.Lissu is coming back health n sound... Mbaya wake ameshaoza imebakia skeleton... Matendo ya Mungu si ya binadamu
😂Lissu kaijia buyu la asali kaona Mzee wa kubadili gea angani anafaidi Sana asali naye kaona isiwe tabu ngoja nikalambe zangu honey!!
Duh!Lissu is coming back health n sound... Mbaya wake ameshaoza imebakia skeleton... Matendo ya Mungu si ya binadamu
Maneno yenye busara sana.Natumainj kwa umri wake na heshima aliyonayo hapa Jukwaani atarekebisha hiyo kauli.Bob huwa nadhani wewe ni mtu wa busara. Msiruhusu kauli hizi za chuki ziwatale. So waliopo wote hai ni watu wasio na ubaya na Lissu? Epuka mihemko mshana wewe huwa nahisi una umri flani wa kupevuka.
Onesha kupevuka kwako. Sikuwahi kuwa mshabiki wa Magufuli na nlipaswa nimchukie kwa sababu alinizuilia pesa zangu nyingi sana bank. But i let it go. Ni vyema kuachana na kivuli chake. Leteni sera sasa tumechoka habari za magufuli na awamu ya 5. Chadema ina nini kipya?
😆😆😂😂 siasa nyoko Mungu nilindie kibanda changu cha M Pesa 😅
Kimjaacho mtu ndicho kimtokacho.
Aliharibu sana alipowafukuza kazini wenye vyeti fake. Na hawa hawawezi kuja msamehe....🤣Yule mtu alikuwa mwovu hakuna jinsi nyingine ya kumuelezea, kuondoka kwake duniani ni jambo la kushukuriwa na kila mpenda amani.
Yaani kadri unavyokaa JF unagundua hata wale watu ambao ulidhani wangekuwa na busara kumbe hawana....🤣 Kauli watu wanazotoa zinawavua nguo sana. Hakuna Binadamu atabaki milele duniani.Duh!
Mwandamizi kama utaishi milele, hii kauli walitakiwa kutoa MANJUKA wa JF.
Sisi waislam tunasema kila nafsi itaonja umahuti..