Mchungaji Msigwa: Mimi ni Mwenyekiti wa Kamati ya Lissu Home Coming, nimekatisha ziara ya Musoma kuja kusaidia Mapokezi!

Hata Gerskn Msigwa atakuwepo kwenye mapokezi kwa ajili ya kutoa ufafanuzi
๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜tunamkaribisha.

Ila hali inavyoenda akina Garson watakuwa wamechukia sana.

Hawapendi amani wala umoja.
 
Watesi wake masalia wataumia nafsi wakimuona akiwa fiti,watesi wasisahau kila mmoja ataonja mauti
 
Ndiyo mana waswahili husema "mchuma janga hula na wakwao" yule jamaa ameua Legacy yake na nduguze kwasabb ya uhayawani ule, Lazima asemwe ili wewe au yule ajifunze. Mungu fundi sana!!
 
Yule mtu alikuwa mwovu hakuna jinsi nyingine ya kumuelezea, kuondoka kwake duniani ni jambo la kushukuriwa na kila mpenda amani.
 
Lissu is coming back health n sound... Mbaya wake ameshaoza imebakia skeleton... Matendo ya Mungu si ya binadamu
Bob huwa nadhani wewe ni mtu wa busara. Msiruhusu kauli hizi za chuki ziwatale. So waliopo wote hai ni watu wasio na ubaya na Lissu? Epuka mihemko mshana wewe huwa nahisi una umri flani wa kupevuka.

Onesha kupevuka kwako. Sikuwahi kuwa mshabiki wa Magufuli na nlipaswa nimchukie kwa sababu alinizuilia pesa zangu nyingi sana bank. But i let it go. Ni vyema kuachana na kivuli chake. Leteni sera sasa tumechoka habari za magufuli na awamu ya 5. Chadema ina nini kipya?
 
Maneno yenye busara sana.Natumainj kwa umri wake na heshima aliyonayo hapa Jukwaani atarekebisha hiyo kauli.
 
Yule mtu alikuwa mwovu hakuna jinsi nyingine ya kumuelezea, kuondoka kwake duniani ni jambo la kushukuriwa na kila mpenda amani.
Aliharibu sana alipowafukuza kazini wenye vyeti fake. Na hawa hawawezi kuja msamehe....๐Ÿคฃ
 
Duh!

Mwandamizi kama utaishi milele, hii kauli walitakiwa kutoa MANJUKA wa JF.

Sisi waislam tunasema kila nafsi itaonja umahuti..
Yaani kadri unavyokaa JF unagundua hata wale watu ambao ulidhani wangekuwa na busara kumbe hawana....๐Ÿคฃ Kauli watu wanazotoa zinawavua nguo sana. Hakuna Binadamu atabaki milele duniani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ