Mchungaji Msigwa: Mimi ni Mwenyekiti wa Kamati ya Lissu Home Coming, nimekatisha ziara ya Musoma kuja kusaidia Mapokezi!

Unaweza kukuta hata akina Kloku Eiti waliuzwa huko huko

Sio kila chama ni cha Siasa za kistaarabu vingine ni jamii ya Taleban

Hadi leo mnakataa uchunguzi wa waliko waliopotea.

Siku moja tutasimika serikali yenye kuwajibika kwa watu wake. Hapo ndipo kila jiwe litageuzwa. Hakutabakizwa jiwe juu ya jingine.

"Amini ninakwambia wahusika wote watawajibishwa wawe hai au wafu."

Mdogo mdogo tumeanza na maridhiano bila kusahau art ya kutongoza:

 
Mama anacho kitengeneza amekitaka MWenyewe. Nje ya mada watoto wa kambona wanarudi lini?
 
Labda Serikali ya walevi

Hiyo ya " demu" mwamba ameshatubu kwa Fatma Karume
 
Yeltsin aliwahi kudondoka kwenye ngazi akiwa bwiiiii?
Tofautisha ulevi na shambulizi la genge lenu na Good luck mkijiita msiojulikana dhidi ya wengine.

Ninakazia:

"When a Russian President Ended Up Drunk and Disrobed Outside the White House"​

Was Bill Clinton's 1994 meeting with Boris Yeltsin the most hilariously awful state visit in history?

 
Chako ni Chako walitisha sana!
 
Na kuongoza nchi ni jukumu la Chama Dola
Kuongoza nchi ni jukumu la chama cha siasa kilichopewa ridhaa kidemokrasia na wanachi.

Chama chenye ridhaa hakiwezi kusubiri kutongozwa kama demu kuhusiana na maslahi ya taifa.

Vyama Dola ni wabakaji tu kama Katekista wa Ludewa.
 
Kuongoza nchi ni jukumu la chama cha siasa kilichopewa ridhaa kidemokrasia na wanachi.

Chama chenye ridhaa hakiwezi kusubiri kutongozwa kama demu kuhusiana na maslahi ya taifa.

Vyama Dola ni wabakaji tu kama Katekista wa Ludewa.
Na mtabakwa kweli kweli!

Unawapa nchi Watu wenye Uraia pacha ni kupungukiwa maarifa!
 
Mnampokea nini huyo mropokaji. Hiyo ndio kazi yake kubwa kuropoka. Na kama mnafikiri inawasaidia kuropoka ngoja aje aanze kuropoka muone nini kitatokea.
Na sasa anakuja na ile ajenda ya ushoga ukijumlisha na kutukana tutaona chadema kama itapata faida au hasara tena kwa lissu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…