johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #121
Ningeshangaa sanaHapo ilikuwa ulimi kutereza na nisahihishe zaidi. Hata miye sikuwapo tyl!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ningeshangaa sanaHapo ilikuwa ulimi kutereza na nisahihishe zaidi. Hata miye sikuwapo tyl!
Ninakazia:Ningeshangaa sana
Kwani alipokamatwa gaidi na kutupwa ndani ilishtakiwa Chadema?
Unaweza kukuta hata akina Kloku Eiti waliuzwa huko hukoKwani alipouwawa Nemes Ukraine hakuwa mtanzania?
Mbona kujichanganya?Alikuwa makamu Mwenyekiti wa Chadema kama Tundu Lisu
Unaweza kukuta hata akina Kloku Eiti waliuzwa huko huko
Sio kila chama ni cha Siasa za kistaarabu vingine ni jamii ya Taleban
Basi hamia RwandaNi Tanzania ambapo msaliti anafanyiwa home coming.
Rwanda walishavuka huu ujinga
Labda Serikali ya waleviHadi leo mnakataa uchunguzi waliko waliopotea.
Siku moja tutasimika serikali yenye kuwajibika kwa watu wake. Kila jiwe litageuzwa.
Amini ninakwambia wahusika wote watawajibishwa wawe hai au wafu.
Mdogo mdogo tumeanza na maridhiano bila kusahau:
View attachment 2493989
Heri ya walevi kuliko ya mambuzi.Labda Serikali ya walevi
Yeltsin aliwahi kudondoka kwenye ngazi akiwa bwiiiii?Heri ya walevi kuliko ya mambuzi.
Zingatia Kuna aliye mlevi kuliko Yeltsin aliyerithiwa na Putin?
Nina hakika baada ya muda mfupi kabisa atarudi kazini UbeljijiChuma kinarudi.
Ataitwa na madaktari wakeNina hakika baada ya muda mfupi kabisa atarudi kazini Ubeljiji
Tofautisha ulevi na shambulizi la genge lenu na Good luck mkijiita msiojulikana dhidi ya wengine.Yeltsin aliwahi kudondoka kwenye ngazi akiwa bwiiiii?
Chako ni Chako walitisha sana!Tofautisha ulevi na shambulizi la genge lenu na Good luck mkijiita msiojulikana dhidi ya wengine.
Ninakazia:
"When a Russian President Ended Up Drunk and Disrobed Outside the White House"
Was Bill Clinton's 1994 meeting with Boris Yeltsin the most hilariously awful state visit in history?
HISTORY
The HISTORY Channel - Geschichte erleben! The HISTORY Channel ist der deutschsprachige Pay-TV-Sender für spannende Dokumentationen und macht die Faszination von Menschen und Ereignissen täglich greifbar!www.history.com
Maisha binafsi kila mtu ana yakeChako ni Chako walitisha sana!
Na kuongoza nchi ni jukumu la Chama DolaMaisha binafsi kila mtu ana yake
Kuongoza nchi ni jukumu la chama cha siasa kilichopewa ridhaa kidemokrasia na wanachi.Na kuongoza nchi ni jukumu la Chama Dola
Na mtabakwa kweli kweli!Kuongoza nchi ni jukumu la chama cha siasa kilichopewa ridhaa kidemokrasia na wanachi.
Chama chenye ridhaa hakiwezi kusubiri kutongozwa kama demu kuhusiana na maslahi ya taifa.
Vyama Dola ni wabakaji tu kama Katekista wa Ludewa.
Mnampokea nini huyo mropokaji. Hiyo ndio kazi yake kubwa kuropoka. Na kama mnafikiri inawasaidia kuropoka ngoja aje aanze kuropoka muone nini kitatokea.Mchungaji Msigwa amesema yeye ni Mwenyekiti wa Kamati ndogo ya Kamati kuu ya Lissu Home Coming na yuko jijini DSM kushirikiana na Viongozi wa Kanda ya Pwani kuandaa Mapokezi.
Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Antipas Lissu atawasili Jumatano saa 7:35 mchana.
Mchungaji Msigwa amelazimika kutoendelea na Mikutano ya Musoma ili asimamie uratibu wa Mapokezi ya Lissu.
Chanzo: Clouds TV