johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mbunge mstaafu wa Iringa mjini mchungaji Msigwa amesema Kimsingi yeye " HAJAIKIMBIA" Chadema ila Chadema ndio imemkimbia yeye
Soma Pia: Mchungaji Peter Msigwa Awatupia CHADEMA Vijembe vya Moto
Mchungaji Msigwa ametoa Siri hii ya moyoni kwake kwenye Mahojiano na Carol Ndosi kwenye podcast ya Zetu Siasa ambayo inatarajiwa kwenda hewani October 30