Alexander The Great
JF-Expert Member
- Aug 28, 2018
- 4,509
- 23,653
Hearsay Evidence - ni ushahidi wa kusikia au kuhadithiwa, sio kwa kushuhudia kwa macho jambo husika. Nilimsikia fulani akisema hivi na hivi au nlisikia hivi na hivi.Evidence ya Mtu Kuvuliwa Nguo utaithibitisha Vipi Mahakamani? Au Ndio Earsay??
Sasa hapo kama mtu alievuliwa nguo akitoa ushahidi inakua sio hearsay tena, huyo anakua "WITNESS" (Shuhuda/Mhanga)" huo ni ushahidi kamili. Mfano, Sugu akitoa ushahidi wa kuvuliwa nguo anakua shuhuda/mhanga wa huo unyanyasaji.