Alexander The Great
JF-Expert Member
- Aug 28, 2018
- 4,509
- 23,653
Hearsay Evidence - ni ushahidi wa kusikia au kuhadithiwa, sio kwa kushuhudia kwa macho jambo husika. Nilimsikia fulani akisema hivi na hivi au nlisikia hivi na hivi.Evidence ya Mtu Kuvuliwa Nguo utaithibitisha Vipi Mahakamani? Au Ndio Earsay??
SAWA SASA HIYO HUKUMU IKOITOKA UNATEGEMMEA JIBU GANI KWA MFANO WAMESHINDA ? WAFUNGWA WOTE WATAACHIWA HURU AU? HAWANA KAZI ZA KUFANYA BADO WANAOTA UBUNGE LABDA MWAKA 2050
Wamesema kwamba wanafungua kesi hiyo ili kulinda heshima ya Wafungwa wawapo Jela , ambako haki na utu wao unapuuzwa .
Walalamikaji hao ambao pia ni wabunge wa Zamani na WAFUNGWA WASTAAFU wanadai kwamba Wafungwa wa Tanzania wawapo gerezani wanalazimishwa Kupima Ukimwi huku Majibu ya vipimo hivyo yakisomwa hadhani mbele ya Kadamnasi , jambo ambalo wanaliona kama udhalilishaji usio na tija yoyote .
Katika madai yao hayo wamedai pia kwamba kitendo cha kuwavua nguo wafungwa mbele ya hadhara kwa madai ya kuwakagua kinatweza Utu wa Wafungwa na ni Kinyume cha haki za binadamu .
Chanzo: Watetezi TV
atakapojibu hoja za walalamikaji aweza kukiri hilo kufanyika magereza ila akatetea kwamba huo ni utaratibu wa gerezani , hapo bado kutakuwa na maswali tena ? nishakuambia kesi za kikatiba hazilengi kufunga mtu bali zinabadili sheria mbovuMtuhumiwa ndio anatoa ushahidi tena ?
MNAPOTEZA MUDA TUatakapojibu hoja za walalamikaji aweza kukiri hilo kufanyika magereza ila akatetea kwamba huo ni utaratibu wa gerezani , hapo bado kutakuwa na maswali tena ? nishakuambia kesi za kikatiba hazilengi kufunga mtu bali zinabadili sheria mbovu
Hivi zile Hansard za Bunge haziwezi kutumika kama ushahidi. Maana Kuna wabunge waliofungwa, wale waliofukuzwa Chadema, mmoja wao alishawahi kulalamika kuwa gerezani wanasachiwa wakiwa uchiiiii yanii. Nadhani alikuwa Ester Matiko.Wataenda mahakamani kutoa ushahidi ?
Huo ni ushahidi mwananaHivi zike Hansard za Bunge haziwezi kutumika Kama ushahidi. Maana Kuna wabunge waliofungwa, wale waliofukuzwa Chadema mmoja wao alishawahi kulalamika kuwa wanaaachiwa wakiwa uchiiiii yanii. Nadhani alikuwa Ester Matiko.
Ila M'kiti Mbowe si yuko mikoani na makamanda kwenye operation haki. Hujamuona?..je hilo ni hitaji la watz?
..muda na resources wanazotumia kutetea wafungwa kwanini wasiutumie kutetea wakulima, wafugaji, vijana wasio na ajira, wastaafu,..
..nadhani wangetumia muda huu kujipendekeza kwa wapiga kura.
Kuna mahakama sasa au matawi ya CCM?
Ndiyo hivyoUnamaanisha CCM na vyombo vyake ni watesaji wa wananchi/wafungwa/mahabusu na CHADEMA na wapinzani wengine ndiyo watetezi wa haki za wananchi?
Maana washabiki/wanachama wengi wa CCM hawataki kusikia utetezi wowote dhidi ya haki za wananchi.
SASA WANAWAPATA WAPI HAO WAGOMBEA WENYE NGUVU HAWANA HAZINA YA VIONGOZI WENYE USHAWISHI NA WATUMwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe amekiri kuwa kushindwa kwa Chadema kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 kulitokana na kuweka wagombea dhaifu kwenye nafasi mbalimbali ikiwemo uraisi na hivyo wamejifunza na uchaguzi ujao wataweka wagombea wenye nguvu na ushawishi watakaozunguka nchi nzima kunadi sera na ajenda za wanachi.
Mbowe amesema Chadema haijawahi kuishiwa ajenda za kupambana na ccm.
My take.
Watakiri yote waliyomsingizia mwendazake laana ya kumtukana imeanza kuwatafuna.
Kumbe waliweka wagombea dhaifu alafu wakasingizia wameibiwa kura na mwendazake. Hovyo kabisa.
Mbowe: Hatukuwa na wagombea sahihi
Kuanza sasa wanachama wa Chadema watakuwa wakivaa sare za chama hicho kila Jumamosi ikiwa ni mkakati wa kuongeza motisha kwa makada wake wote.www.mwananchi.co.tz
Ila M'kiti Mbowe si yuko mikoani na makamanda kwenye operation haki. Hujamuona?
Naona yote yanabebwa kwa umuhimu unaostahiki.
Wafungwa wataacha kunyanyaswa na kudhalilishwa.SAWA SASA HIYO HUKUMU IKOITOKA UNATEGEMMEA JIBU GANI KWA MFANO WAMESHINDA ? WAFUNGWA WOTE WATAACHIWA HURU AU? HAWANA KAZI ZA KUFANYA BADO WANAOTA UBUNGE LABDA MWAKA 2050
Mkuu ushahidi upi hui?Ushahidi utakuwa mgumu.
Why notWataenda mahakamani kutoa ushahidi ?
tatizo hao wanaofanya hiyo shughuri ya kufungua kesi hakuna mtu atawasikiliza wataonekana wanaleta fujo tu mahakamaniWafungwa wataacha kunyanyaswa na kudhalilishwa.
Hivi wewe huwezi ukajitoa kutetea/kudai haki ya kundi la watu katika jamii yako kwa faida ya wanajamii hiyo?
Mbona una mitazamo hasi namna hii? Au ulikulia mahali pasipo na upendo? Nadhani una stahili kusaidiwa HARAKA.
We huna akiri kabisa. Hujui hata wewe umatetewa. Hujui kama we ni mgungwa wa kesho. Dhulma zikizidi unaweza bamvikwa kesi yoyote kama akina mdude na manji..je hilo ni hitaji la watz?
..muda na resources wanazotumia kutetea wafungwa kwanini wasiutumie kutetea wakulima, wafugaji, vijana wasio na ajira, wastaafu,..
..nadhani wangetumia muda huu kujipendekeza kwa wapiga kura.