Mchungaji Msigwa na Joseph Mbilinyi wafungua kesi ya Kikatiba dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali kupinga unyanyasaji Magerezani

Bado mnajiita waheshimiwa ilihali ubunge mlishapigwa chini ! Kweli maajabu hayaishi chini ya jua
 
Ukombozi huwa hauji wenyewe, wala kuletewa kwenye sahani.
Ukombozi hutafutwa, tena mara nyingi kwa gharama.
AMEN
mimi nawashangaa sana watu wahuni kama hawa yaani wanakomboa nini labda kitu gani kimefungwa wanakikomboa ukombozi ulishaga patikana toka enzi za mwalimu mnataka kukomboa nini? haki gani mnayoitafuta kwa hiyo harama yaani inaonyesha hata nyinyi hamjui hata mnachokitafuta bora mngesema mnataka kujaribu nanyinyi kutawala lakini eti ukombozi? nani kafungwa ?hatuo utumwani ni nchi huru ya amani ambaye haoni amani ya tz huyo kuna anachokitafuta na wajue utawala au kutawala nchi hakujaribiwi hovyo kwanza hawana rasilimali watu hawana viongozi walioiva kisiasa unamchukua kama pambalu unampa cheo ganisasa? tulieni mkomae
 
w
anapoteza muda tu hawajui hata wanachokipigania
 
Washaurini wawe wanaleta matokeo ya hukumu na sio wanapopeleka shauri kwasababu mna taarifa nyingi za kufungua kesi lakini hatupati mrejesho. Mfano, Kesi ya Amsterdam na Maria Sarungi Tsehai za The Hague zimefikia wapi?
wanatafuta kiki tu hazina mrejesho kesi zao hawana kazi za kufanya ubunge ushaota mbawa wakalime tu
 
..je hilo ni hitaji la watz?

..muda na resources wanazotumia kutetea wafungwa kwanini wasiutumie kutetea wakulima, wafugaji, vijana wasio na ajira, wastaafu,..

..nadhani wangetumia muda huu kujipendekeza kwa wapiga kura.
Sio hitaji muhimu kwa sababu uko nje ya magereza,kama alivyosema hayati Rais magufuli "kila mtu ni mfungwa mtarajiwa" sasa siku ukijikuta magereza ndo utajua umuhimu wa swala hili.
 
..je hilo ni hitaji la watz?

..muda na resources wanazotumia kutetea wafungwa kwanini wasiutumie kutetea wakulima, wafugaji, vijana wasio na ajira, wastaafu,..

..nadhani wangetumia muda huu kujipendekeza kwa wapiga kura.
It is enough to say you are hopeless!
 
Unaposikia Operation Haki unaelewa nini?Unadhani ni Haki za nani zinaongelewa?
Hayo makundi ya wapiga kura ambavyo CHADEMA inatakiwa kuyabaini ni kama yapi hasa?Wanyonge,Mama/Baba lishe,Boda Boda,Machinga waliotokana na kunyimwa Haki na CCM kwa miaka yote tangia Uhuru? Wakulima/Wafugaji/Wavuvi,Watumishi wa Umma na sekta binafsi nao hawafahamiki jinsi walivyotwezwa na utawala wa CCM Mpya awamu iliyositishwa na Mungu mwenyezi?
Watetezi wa Jiwe mnakwama wapi?Sasa hivi mnamponda hata Mh.Rais wa awamu hii na serikali yake!Mnaishi katika wakati uliopita?
 

..umejibu vizuri, lakini umenionea kwa kunituhumu kuwa ni mtetezi wa Jiwe.

..mimi ningefurahi kama Msigwa na Sugu wangetetea hayo makundi uliyoyataja ktk majibu yako.
 
Watanzania tuweni na utu, ubaya wa mtu hakuhalalishi kumtendea ubaya.

Kuna utaratibu inadaiwa unatekelezwa na Magereza yetu na utaratibu huo ni Wafungwa ama mahabusu kuvua nguo zote.

Huu si Ubinadamu ni Unyama.
 
Watanzania tuweni na utu, ubaya wa mtu hakuhalalishi kumtendea ubaya. Kuna utaratibu inadaiwa unatekelezwa na magereza yetu na utaratibu huo ni wafungwa ama mahabusu kuvua nguo zote. Huu si ubinadamu ni unyama.
Ni kweli haufai. Shida ni pale unaonekana mbaya pale ambapo mpendwa wetu yanapomkuta. Viongozi wa Chadema wengi tu wamepitia kote tu. Na watu walikuwa wanafurahia kuwa watatendewa hivyo walipowekwa rumande. Mimi binafsi hata hiyo ya kutaka watu wachuchumae naona ni udhalilishaji tu.

Amandla...
 
Ole guna sabaya ni vizuri kakagoma kuoga make kwa mpalange raha yake kisamvu cha kopo kiwemo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…