Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Yule Mnafki Amejishushia Heshma SanaIla angepitishwa kugombea ubunge Iringa kwa ccm isingeondoka madarakani sio?
Ni Tanzania pekee ambako mtu haukumiwi kwa uongo na usaliti na greedy.
Nawashangaa sana chadema nao kumpokeaYule Mnafki Amejishushia Heshma Sana
Mapema Watu Walisema Kafika Bei Huyo Lakini Ndiyo Anapotezwa
Mwanampotevu alirudi Kwa baba yake akiwa hana hata ndala,Ingawa alipewa pasupasu ya urithi,Baba alimpokea!Hii ndio Hekima na Ufahamu.Amandlaaa!Nawashangaa sana chadema nao kumpokea
Mtu kaongea utumbo vile kuwaponda chadema alivyonunuliwaga leo wanampokea tena?
Hata kama ni ushkaji ila si sawa
Yaani Alikosa Adabu Angeondoka Kimya Kimya Siyo KibwatabwataNawashangaa sana chadema nao kumpokea
Mtu kaongea utumbo vile kuwaponda chadema alivyonunuliwaga leo wanampokea tena?
Hata kama ni ushkaji ila si sawa
Tumemwambia aendelee kubwata pia!Yaani Alikosa Adabu Angeondoka Kimya Kimya Siyo Kibwatabwata
Hivi ndio vitu vinafanya tuwe hapa tulipo hadi sasaMwanampotevu alirudi Kwa baba yake akiwa hana hata ndala,Ingawa alipewa pasupasu ya urithi,Baba alimpokea!Hii ndio Hekima na Ufahamu.Amandlaaa!