Mchungaji Msigwa: Nimejifafakari, nimetafiti na nimechunguza na kujiridhisha kuwa Tanzania iko salama chini ya Rais Samia na CCM haina mbadala!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Baada ya mkeka wa teuzi Kutoka mchungaji Msigwa amesema ana Imani kubwa sana na Rais Samia na kwamba hajutii kuhamia CCM kwani haina mbadala.

“Nimechunguza, Nimetafiti, Nimetafakari, Nimelingalisha, Nimetofautisha, Nimejiridhisha na kutoka na hitimisho kuwa Tanzania iko salama mikononi mwa CCM china ya Uongozi wa Dr SSH. Kwa sasa hakuna chama kingine cha siasa kinaweza kuwa mbadala wa CCM.”

Mchungaji Msigwa ameandika Ukurasani X

Screenshot 2024-12-08 180527.png
 
Daaah! wamemuacha tena,aisee.
 
Tuliwaambia chadema mapema kama UCHAGA ukiwaacha Salama basi Udini na kuendekeza MAASKOFU kwenye CHAMA chao utawamaliza,wanavuna sasa walichokipanda.
 
Baada ya mkeka wa teuzi Kutoka mchungaji Msigwa amesema ana Imani kubwa sana na Rais Samia na kwamba hajutii kuhamia CCM kwani haina mbadala

Mchungaji Msigwa ameandika Ukurasani X
Akili ndogo.
 
Atafanikiwa aongeze juhudi
 
Kweli Tanzania ni salama.

Mama anaupiga mwingi!
 
Baada ya mkeka wa teuzi Kutoka mchungaji Msigwa amesema ana Imani kubwa sana na Rais Samia na kwamba hajutii kuhamia CCM kwani haina mbadala.

“Nimechunguza, Nimetafiti, Nimetafakari, Nimelingalisha, Nimetofautisha, Nimejiridhisha na kutoka na hitimisho kuwa Tanzania iko salama mikononi mwa CCM china ya Uongozi wa Dr SSH. Kwa sasa hakuna chama kingine cha siasa kinaweza kuwa mbadala wa CCM.”

Mchungaji Msigwa ameandika Ukurasani X

Ni lazima aseme hivyo kama sharti mojawapo la kuendelea kupitishiwa ile miamala alioisema Joseph Msukuma (MB)
 
Baada ya mkeka wa teuzi Kutoka mchungaji Msigwa amesema ana Imani kubwa sana na Rais Samia na kwamba hajutii kuhamia CCM kwani haina mbadala.

“Nimechunguza, Nimetafiti, Nimetafakari, Nimelingalisha, Nimetofautisha, Nimejiridhisha na kutoka na hitimisho kuwa Tanzania iko salama mikononi mwa CCM china ya Uongozi wa Dr SSH. Kwa sasa hakuna chama kingine cha siasa kinaweza kuwa mbadala wa CCM.”

Mchungaji Msigwa ameandika Ukurasani X

Mwambie aache ujinga, utoto.
 
Hebu tujiulize kidogo tu. Hawa chadema hawana wanachama hai hata milioni tano lakini wameshindwa kuaminiana na kupokezana nafasi ya uenyekiti. Hivi wakishika dola watakubali kweli na wao kushindwa kwenye uchaguzi? Yanni kwenye familia hamuaminiani mnataka tuwape kijiji kweli?. Nasubiri matusi kutoka kwa wenye mahaba yao 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom