johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Bado kidogo watamkumbuka tu na yeyeBaada ya mkeka wa teuzi Kutoka mchungaji Msigwa amesema ana Imani kubwa sana na Rais Samia na kwamba hajutii kuhamia CCM kwani haina mbadala
Mchungaji Msigwa ameandika Ukurasani X
Akili ndogo.Baada ya mkeka wa teuzi Kutoka mchungaji Msigwa amesema ana Imani kubwa sana na Rais Samia na kwamba hajutii kuhamia CCM kwani haina mbadala
Mchungaji Msigwa ameandika Ukurasani X
Atafanikiwa aongeze juhudiBaada ya mkeka wa teuzi Kutoka mchungaji Msigwa amesema ana Imani kubwa sana na Rais Samia na kwamba hajutii kuhamia CCM kwani haina mbadala
Mchungaji Msigwa ameandika Ukurasani X
Ni lazima aseme hivyo kama sharti mojawapo la kuendelea kupitishiwa ile miamala alioisema Joseph Msukuma (MB)Baada ya mkeka wa teuzi Kutoka mchungaji Msigwa amesema ana Imani kubwa sana na Rais Samia na kwamba hajutii kuhamia CCM kwani haina mbadala.
“Nimechunguza, Nimetafiti, Nimetafakari, Nimelingalisha, Nimetofautisha, Nimejiridhisha na kutoka na hitimisho kuwa Tanzania iko salama mikononi mwa CCM china ya Uongozi wa Dr SSH. Kwa sasa hakuna chama kingine cha siasa kinaweza kuwa mbadala wa CCM.”
Mchungaji Msigwa ameandika Ukurasani X
Mwambie aache ujinga, utoto.Baada ya mkeka wa teuzi Kutoka mchungaji Msigwa amesema ana Imani kubwa sana na Rais Samia na kwamba hajutii kuhamia CCM kwani haina mbadala.
“Nimechunguza, Nimetafiti, Nimetafakari, Nimelingalisha, Nimetofautisha, Nimejiridhisha na kutoka na hitimisho kuwa Tanzania iko salama mikononi mwa CCM china ya Uongozi wa Dr SSH. Kwa sasa hakuna chama kingine cha siasa kinaweza kuwa mbadala wa CCM.”
Mchungaji Msigwa ameandika Ukurasani X
Usijali picha kwenye kujitafuta, utafutaji, wote tunaweza kupata picha zako kama hizo. Kataa maoni yake.
Hebu tujiulize kidogo tu. Hawa chadema hawana wanachama hai hata milioni tano lakini wameshindwa kuaminiana na kupokezana nafasi ya uenyekiti. Hivi wakishika dola watakubali kweli na wao kushindwa kwenye uchaguzi? Yanni kwenye familia hamuaminiani mnataka tuwape kijiji kweli?. Nasubiri matusi kutoka kwa wenye mahaba yao 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Baada ya mkeka wa teuzi Kutoka mchungaji Msigwa amesema ana Imani kubwa sana na Rais Samia na kwamba hajutii kuhamia CCM kwani haina mbadala.