Mchungaji Msigwa tells police: The evils that you did to Tanzanians on 29th October, 2025 will haunt you to the grave

Ujumbe wa Mchungaji Msigwa
Msigwa alitaka nchi ichomwe ili wao waende Ikulu..hakuna atakae waelewa ata siku moja.Mlishindwa nini kuachana na hamasi ya kuwadanganya vijana kufanya fujo,kuiba,kuchoma mali za watu naza umma. Sikuona mwanachadema akikemea kitendo au vitendo vya vijana kutotii amri na mamlaka halali iliyokua madarakani.Kwanza nyie ndiyo mnabidi kuomba radhi watanzania.
 
Reactions: Lax
Mamlaka halali iliyopata kura 31m bila wapiga kura hao vituoni? Hivi mnatuona sisi ni viazi ama? Kilichokuwa kinafanyika siku ile ni kujiweka madarakani bila ridhaa ya wananchi. Ama huko ikulu ni sawa kuingia kwa kupora uchaguzi?
 
Wewe ni mpumbavu yule mtangazaji wa clouds Tv alikua na kosa gani ? Au shekhe sharifu majini?
 
Wewe ni mpumbavu yule mtangazaji wa clouds Tv alikua na kosa gani ? Au shekhe sharifu majini?
Kwani unafikiri kwenye ghasia mlizo anzisha eti mfanye mapinduzi mambo kama ayo yanakosekana.Yaani damu mlizo sababisha zitawalilia mpaka mwisho wa maisha yenu.
 
Mamlaka halali iliyopata kura 31m bila wapiga kura hao vituoni? Hivi mnatuona sisi ni viazi ama? Kilichokuwa kinafanyika siku ile ni kujiweka madarakani bila ridhaa ya wananchi. Ama huko ikulu ni sawa kuingia kwa kupora uchaguzi?
Kwani ili mtu atangazwe kua kashinda urais inabidi apate kura ngapi za watu waliopiga kura? Pia kumbuka sisi CHADEMA tulitaka kupindua nchi nasio kushiriki uchaguzi maana ilikua wazi kua atuwezi kushinda kwakua atukua na mgombea sahihi.
 
Jibu swali, kura 31m zilitoka wapi? Cdm hawako tayari kushiriki chaguzi kama mabwege. Kama mlizoea kuburuzwa vyama vingine, basi cdm wamechora mstari. Na uzuri ile voters turn out imetidhibitishia kuwa hamna umma nyuma yenu tena zaidi ya mbeleko ya vyombo vya dola. Na cdm tumeshaijua nguvu yetu hamtuambii kitu.
 
You are very stupid and ignorant.
Wisemen look at the source.
..Oina obunafiki nobulushu bwalulelaa!..
..Bai olwokuzala ekilushu ozala ekishuma!
 
You are very stupid and ignorant.
Wisemen look at the source.
..Oina obunafiki nobulushu bwalulelaa!..
..Bai olwokuzala ekilushu ozala ekishuma!
Umeona eh!
 
You are very stupid and ignorant.
Wisemen look at the source.
..Oina obunafiki nobulushu bwalulelaa!..
..Bai olwokuzala ekilushu ozala ekishuma!
Let me serve my energy... tutaka mtijibu kwanini mlitaka kuchoma nchi yetu?
 
Sasa kama mlisusa amambayo ni desturi yenu mnafikiri nchi inashindwa kuongozwa. Tuane Rais na serikali inafanya kazi..lete jingine.
 
You are very stupid and ignorant.
Wisemen look at the source.
..Oina obunafiki nobulushu bwalulelaa!..
..Bai olwokuzala ekilushu ozala ekishuma!
Sasa matusi ya nini ndugu yangu.Kujuma omuntu tikikukola kuba mumanyi munno.Mukaba nimwenda kyokya ensi yaitu naichwe tube nka Somalia na Sudan? Ekyo chei titwakwikiliza kibeo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…