Lax
JF-Expert Member
- Feb 10, 2022
- 12,297
- 18,156
kwakifupi sana , cdm kupitia wing ya vijana imehimiza sana watu kukichafua ile siku,Msigwa alitaka nchi ichomwe ili wao waende Ikulu..hakuna atakae waelewa ata siku moja.Mlishindwa nini kuachana na hamasi ya kuwadanganya vijana kufanya fujo,kuiba,kuchoma mali za watu naza umma. Sikuona mwanachadema akikemea kitendo au vitendo vya vijana kutotii amri na mamlaka halali iliyokua madarakani.Kwanza nyie ndiyo mnabidi kuomba radhi watanzania.