johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kabla hajakuambia hayo unayotaka,kwanza utuambie nini ulichokielewa katika shutma zake.Kama utatueleza ulitumiaje Fedha za Mfuko wa Jimbo la Iringa Mjini kwa miaka 10 mfululizo uliyokaa bungeni tutakuelewa sana
Ritha Kabati Semwamoto ni Mbunge wa Viti Maalum ulikuwa naye Bungeni hana Fedha za Jimbo lakini kazi alizofanya kama mbunge wa Viti Maalum Iringa zinaonekana
Wewe je?
Samahani lakini πππ₯
Kwamba anawatuhumu ππKabla hajakuambia hayo unayotaka,kwanza utuambie nini ulichokielewa katika shutma zake.
SahihiKama utatueleza ulitumiaje Fedha za Mfuko wa Jimbo la Iringa Mjini kwa miaka 10 mfululizo uliyokaa bungeni tutakuelewa sana
Ritha Kabati Semwamoto ni Mbunge wa Viti Maalum ulikuwa naye Bungeni hana Fedha za Jimbo lakini kazi alizofanya kama mbunge wa Viti Maalum Iringa zinaonekana
Wewe je?
Samahani lakini πππ₯
Kama hivyo basi sawa.Kwamba anawatuhumu ππ
Zimeibwa na waliomwiba alikokuwa nazo.Kashasema alivyokuwa CDM alikuwa mjinga & mbumbumbu kwa hiyo msimuulize mambo ya CDM.
Ila kwa sasa ni mwerevu na ndiyo maana ameshtuka kwamba Mh. Mbowe anafuja mali za chama.
?? zimo kweli ??