Mchungaji Msigwa Tuhuma za ufisadi wa Mbowe na CHADEMA tumeshakuelewa, Sasa tuambie na wewe ulitumiaje Ruzuku ya Jimbo kwa miaka 10!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Kama utatueleza ulitumiaje Fedha za Mfuko wa Jimbo la Iringa Mjini kwa miaka 10 mfululizo uliyokaa bungeni tutakuelewa sana

Ritha Kabati Semwamoto ni Mbunge wa Viti Maalum ulikuwa naye Bungeni hana Fedha za Jimbo lakini kazi alizofanya kama mbunge wa Viti Maalum Iringa zinaonekana

Wewe je?

Samahani lakini 😄😄🔥
Kabla hajakuambia hayo unayotaka,kwanza utuambie nini ulichokielewa katika shutma zake.
 
Kama utatueleza ulitumiaje Fedha za Mfuko wa Jimbo la Iringa Mjini kwa miaka 10 mfululizo uliyokaa bungeni tutakuelewa sana

Ritha Kabati Semwamoto ni Mbunge wa Viti Maalum ulikuwa naye Bungeni hana Fedha za Jimbo lakini kazi alizofanya kama mbunge wa Viti Maalum Iringa zinaonekana

Wewe je?

Samahani lakini 😄😄🔥
Sahihi
 
Kashasema alivyokuwa CDM alikuwa mjinga & mbumbumbu kwa hiyo msimuulize mambo ya CDM.

Ila kwa sasa ni mwerevu na ndiyo maana ameshtuka kwamba Mh. Mbowe anafuja mali za chama.

?? zimo kweli ??
 
Zimeibwa na waliomwiba alikokuwa nazo.
 
Pia atuelezee na zile safari alipokuwa msemaji wa utalii yeye na aliyekuwa waziri wa utalii alikuwa analipwa nini
 
Back
Top Bottom