johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mchungaji Msigwa ametangaza kwamba makubaliano yameshafikiwa kwamba CCM iendelee kuongoza na Jemedari hatabadilishwa katikati ya Vita hivyo Mpendwa wetu Mh Rais Samia ataendelea hadi 2030 bila figisu za yoyote
Mchungaji Msigwa amebandika Taarifa Ukurasani kwake X
Ahsanteni sana
================
*Tumekubaliana**CCM iendelee tena natena kuongoza**katu hatutabadilisha general wa vita katikati ya mapambano makali ya maadui**Mission ya CCM bado Haijakamilika,wahuni wasubiri kwanza*Bado tuna IHITAJI CCM