johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ayatollah Mbowe hana nyimbo! Historically, kuna generals wengi tu ambao wamewahi kupigwa chini katikati ya mapambano. Kwa mfano, President Abraham Lincoln alipiga chini generals kibao wakati wa U.S. civil war, mpaka hapo alipompata General Grant ambaye ndiye aliyebadili upepo wa vita na kuleta ushindi. Ni strategy mbovu kung’ang’ana na general ambaye hana tija!Mchungaji Msigwa ametangaza kwamba makubaliano yameshafikiwa kwamba CCM iendelee kuongoza na Jemedari hatabadilishwa katikati ya Vita hivyo Mpendwa wetu Mh Rais Samia ataendelea hadi 2030 bila figisu za yoyote
Mchungaji Msigwa amebandika Taarifa Ukurasani kwake X
Ahsanteni sana
================
*Tumekubaliana**CCM iendelee tena natena kuongoza**katu hatutabadilisha general wa vita katikati ya mapambano makali ya maadui**Mission ya CCM bado Haijakamilika,wahuni wasubiri kwanza*Bado tuna IHITAJI CCM
View attachment 3182704
Astaghifilullah!Msigwa Mwanamume kama mabinti!
Kaibomoa Kabisa ChademaMsigwa Mwanamume kama mabinti!
Msigwa akumbuke yupo na wajukuu, sio mtoto tenaMchungaji Msigwa ametangaza kwamba makubaliano yameshafikiwa kwamba CCM iendelee kuongoza na Jemedari hatabadilishwa katikati ya Vita hivyo Mpendwa wetu Mh Rais Samia ataendelea hadi 2030 bila figisu za yoyote