Mchungaji Msigwa viwanda vya kuchakata mazao ya misitu vinafungwa Mafinga, kulikoni?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Nakuuliza swali hili mh Peter Msigwa kwanza kama mbunge pekee wa upinzani mkoa wa Iringa lakini pia kama mwenyekiti wa Chadema kanda ya Nyasa.

Nimetembelea Mafinga wadimi wanalalamika kukosa vibarua kwa kuwa viwanda vinafungwa na wamebakia Wachina ndio wanaotamba msituni.

Kabla sijawasiliana na waziri husika ningependa kupata maoni yako mtumishi kwani msema kweli ni mpenzi wa Mungu.

Maendeleo hayana vyama!
 
Tanzania ya Magu ni Tanzania ya viwaaànda.
 
Swali la kijinga sana hili. Ulitaka kama hatuna uwezo wa kuviendesha tufanyeje?? Hata hao uliowaona nao wanamalizia kwota yao wafunge
 
Niuseme Ukweli sasa haha Yule ambaye alikuwa anaimba kuleta serikali ya viwanda ameona kwamba isingewezekana na haitawezekana

Tumekosea wapi
1.Tumeingiza siasa kwenye taaluma na Utaalamu, walipaswa wawe na mpango mkakati wa kuwashirikisha hasa wenye viwanda vilivyopo kuona ni wapi paboreshwe, lakin kinyume serikali imekuwa against Private sectors na kuona kama maadui , lazima viwanda vifungwe

2.Hakukuwa na maandalizi Thabiti ya Viwanda vyenyewe
Tulilileta kisiasa
Ilibidi kwanza tuhakikishe haya
A.Tuna nini kama Malighafi
B.Tunataka kuzalisha nini kutokana na Malighafi hizo
C.Nani awekeze katika uzalishaji huo
D.Ni nini mahitaji muhim katika uzalishaji hio na yanakidhi viwango? Yaan Umeme, Miundombinu na vingine
E.Muda tuliojipa unatosha kuyakamilisha?
F.Elimu vijana wanayopata itakidhi mahitaji ya soko la wataalamu ndani ya viwanda hivyo?

Tatizo tuna copy na Ku paste, kama Singapore na Indonesia bila kujua leo wamefikaje

Viwanda vitafungwa sana
Britannica
 
Bwashee Mafinga mali ghafi ( miti) iko ya kutosha ni uwekezaji wa wananchi kwa miaka na miaka.
 
Hao watakuwa wapiga dili waache waondoke watakuja wawekezaji wa kweli na sio hao uchwara.. JPM Rais wa wanyonge hataki mchezo kabisa na wapiga dili lazima wakimbie..

Uchumi unakua kwa 7%, wazalendo wote tuko na JPM ushindi 99.9%..
 
Nakuuliza swali hili mh Peter Msigwa kwanza kama mbunge pekee wa upinzani mkoa wa Iringa lakini pia kama mwenyekiti wa Chadema kanda ya Nyasa.

Nimetembelea Mafinga wadimi wanalalamika kukosa vibarua kwa kuwa viwanda vinafungwa na wamebakia Wachina ndio wanaotamba msituni.

Kabla sijawasiliana na waziri husika ningependa kupata maoni yako mtumishi kwani msema kweli ni mpenzi wa Mungu.

Maendeleo hayana vyama!
Mafinga kuna mbunge wa ccm ,msigwa yuko mjini
 
Nakuuliza swali hili mh Peter Msigwa kwanza kama mbunge pekee wa upinzani mkoa wa Iringa lakini pia kama mwenyekiti wa Chadema kanda ya Nyasa.

Nimetembelea Mafinga wadimi wanalalamika kukosa vibarua kwa kuwa viwanda vinafungwa na wamebakia Wachina ndio wanaotamba msituni.

Kabla sijawasiliana na waziri husika ningependa kupata maoni yako mtumishi kwani msema kweli ni mpenzi wa Mungu.

Maendeleo hayana vyama!
kwa nini usimuulize mbunge wa ccm wa eneo hilo?Au huamini kama wazee wa ndiyo wanaweza kuwa na ufahamu wa jambo lolote?
 
Hao watakuwa wapiga dili waache waondoke watakuja wawekezaji wa kweli na sio hao uchwara.. JPM Rais wa wanyonge hataki mchezo kabisa na wapiga dili lazima wakimbie..

Uchumi unakua kwa 7%, wazalendo wote tuko na JPM ushindi 99.9%..

Haya mahaba yatakuja yakuue siku moja aisee! 🙊
 
Magufuli ameua viwanda na sera zake za matajiri waishi kama mashetani, UNAMUOGOPA, wewe mpumbavu wake. Mwenyewe anakuiteni WAPUMBAVU wake
Uzalendo gani sasa huo?!

Unauliza kisiasa wakati Wananchi Wanaumia.
MaCCM acheni siasa za kishamba mnaua nchi.
 
Chadema watatoa wapi majibu. Sasa wenye majibu ni wasukuma wote. Maana maendeleo yaliyopo leo yamepatikana kwa kupitia usukuma. Sukuma is the best

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Magufuli ameua viwanda na sera zake za matajiri waishi kama mashetani, UNAMUOGOPA, wewe mpumbavu wake. Mwenyewe anakuiteni WAPUMBAVU wake
Uzalendo gani sasa huo?!

Unauliza kisiasa wakati Wananchi Wanaumia.
MaCCM acheni siasa za kishamba mnaua nchi.
Umekasirika sana!
 
Back
Top Bottom