johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Tanzania ya Magu ni Tanzania ya viwaaànda.Nakuuliza swali hili mh Peter Msigwa kwanza kama mbunge pekee wa upinzani mkoa wa Iringa lakini pia kama mwenyekiti wa Chadema kanda ya Nyasa.
Nimetembelea Mafinga wadimi wanalalamika kukosa vibarua kwa kuwa viwanda vinafungwa na wamebakia Wachina ndio wanaotamba msituni.
Kabla sijawasiliana na waziri husika ningependa kupata maoni yako mtumishi kwani msema kweli ni mpenzi wa Mungu.
Maendeleo hayana vyama!
Kwa upande wa upinzani ndio huyo mchungaji Msigwa....... Uwe unasoma na kuelewa bwashee!Kwani Huko mafinga hakuna mbunge?
Nadhani jibu lako ndio la kipimbi!Swali la kijinga sana hili. Ulitaka kama hatuna uwezo wa kuviendesha tufanyeje?? Hata hao uliowaona nao wanamalizia kwota yao wafunge
Bwashee Mafinga mali ghafi ( miti) iko ya kutosha ni uwekezaji wa wananchi kwa miaka na miaka.Niuseme Ukweli sasa haha Yule ambaye alikuwa anaimba kuleta serikali ya viwanda ameona kwamba isingewezekana na haitawezekana
Tumekosea wapi
1.Tumeingiza siasa kwenye taaluma na Utaalamu, walipaswa wawe na mpango mkakati wa kuwashirikisha hasa wenye viwanda vilivyopo kuona ni wapi paboreshwe, lakin kinyume serikali imekuwa against Private sectors na kuona kama maadui , lazima viwanda vifungwe
2.Hakukuwa na maandalizi Thabiti ya Viwanda vyenyewe
Tulilileta kisiasa
Ilibidi kwanza tuhakikishe haya
A.Tuna nini kama Malighafi
B.Tunataka kuzalisha nini kutokana na Malighafi hizo
C.Nani awekeze katika uzalishaji huo
D.Ni nini mahitaji muhim katika uzalishaji hio na yanakidhi viwango? Yaan Umeme, Miundombinu na vingine
E.Muda tuliojipa unatosha kuyakamilisha?
F.Elimu vijana wanayopata itakidhi mahitaji ya soko la wataalamu ndani ya viwanda hivyo?
Tatizo tuna copy na Ku paste, kama Singapore na Indonesia bila kujua leo wamefikaje
Viwanda vitafungwa sana
Britannica
Mafinga Nimekaa sana SAO hill (Green resources)Bwashee Mafinga mali ghafi ( miti) iko ya kutosha ni uwekezaji wa wananchi kwa miaka na miaka.
Mafinga kuna mbunge wa ccm ,msigwa yuko mjiniNakuuliza swali hili mh Peter Msigwa kwanza kama mbunge pekee wa upinzani mkoa wa Iringa lakini pia kama mwenyekiti wa Chadema kanda ya Nyasa.
Nimetembelea Mafinga wadimi wanalalamika kukosa vibarua kwa kuwa viwanda vinafungwa na wamebakia Wachina ndio wanaotamba msituni.
Kabla sijawasiliana na waziri husika ningependa kupata maoni yako mtumishi kwani msema kweli ni mpenzi wa Mungu.
Maendeleo hayana vyama!
kwa nini usimuulize mbunge wa ccm wa eneo hilo?Au huamini kama wazee wa ndiyo wanaweza kuwa na ufahamu wa jambo lolote?Nakuuliza swali hili mh Peter Msigwa kwanza kama mbunge pekee wa upinzani mkoa wa Iringa lakini pia kama mwenyekiti wa Chadema kanda ya Nyasa.
Nimetembelea Mafinga wadimi wanalalamika kukosa vibarua kwa kuwa viwanda vinafungwa na wamebakia Wachina ndio wanaotamba msituni.
Kabla sijawasiliana na waziri husika ningependa kupata maoni yako mtumishi kwani msema kweli ni mpenzi wa Mungu.
Maendeleo hayana vyama!
Hao watakuwa wapiga dili waache waondoke watakuja wawekezaji wa kweli na sio hao uchwara.. JPM Rais wa wanyonge hataki mchezo kabisa na wapiga dili lazima wakimbie..
Uchumi unakua kwa 7%, wazalendo wote tuko na JPM ushindi 99.9%..
Nahisi hukumuelewaHaya mahaba yatakuja yakuue siku moja aisee! 🙊
Nalielewa hilo bwashee!Mafinga kuna mbunge wa ccm ,msigwa yuko mjini
Hilo swali linamuhusu Mwenyekiti wako sasa msigwa atajibu nnNalielewa hilo bwashee!
Mchungaji Msigwa ni mwenyekiti wa kanda ya NyasaHilo swali linamuhusu Mwenyekiti wako sasa msigwa atajibu nn
Umekasirika sana!Magufuli ameua viwanda na sera zake za matajiri waishi kama mashetani, UNAMUOGOPA, wewe mpumbavu wake. Mwenyewe anakuiteni WAPUMBAVU wake
Uzalendo gani sasa huo?!
Unauliza kisiasa wakati Wananchi Wanaumia.
MaCCM acheni siasa za kishamba mnaua nchi.