Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 51,303
- 40,190
Oh Msigwa kuhamia ccm kajimaliza kisiasa, nonsense kabisa! Yaani siasa nchi hii lazima ufanyie CHADEMA, wewe ambaye hujaisha kisiasa unafanya nini! Kisiasa ukoje!
Oh vijana msitoke CHADEMA mna future nzuri, uongo tu. Hao wanaowambia mnafuture wao wenyewe hawana future!
Pia soma==>> Mchungaji Msigwa: Nitazunguka Nchi nzima kuelezea Uongo wa CHADEMA