Pre GE2025 Mchungaji Msigwa: Wanaosema msitoke CHADEMA kwakuwa kuna future ni uongo mtupu, wao wenyewe hawana hiyo future

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kila mtu ana historia yake hata Mbowe alikuwa DJ. Sasa hivi wote mmekuwa mateka wake.
 
Kweli umeshakuwa mwehu. Kupiga picha na makala ukiwa bandarini Basi umeshajifanya CCM yote yako. Utakula maisha kipindi tu makala yupo madarakani coz aliratibu zoezi la ww kuhama. Siku akitoka nakwambia na biashara yako imeisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…