Mchungaji Msigwa: Waziri Mwita Waitara alikuwepo kwenye mkutano wa kufunga kampeni pale Buibui kabla ya kuuawa Akwilina

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mmoja wa watuhumiwa wa kesi inayowakabili viongozi wa Chadema Mchungaji Peter Msigwa amesema katika mkutano wa kufunga kampeni za uchaguzi wa Mbunge wa Kinondoni katika viwanja vya Buibui alikuwepo pia Naibu Waziri wa TAMISEMI Mh Mwita Waitara.

Baada ya kumalizika mkutano huo viongozi hao wa Chadema walifanya safari ya kwenda ofisini kwa msimamizi wa uchaguzi na wakiwa njiani risasi ilipigwa na kumuua mwanafunzi wa NIT Akwilina (RIP).

Mchungaji Msigwa ametoa maelezo hayo alipoanza kutoa utetezi wake mbele ya Hakimu Simba wa Mahakama ya Kisutu.

Source: ITV habari
 
Hivi kesi hii ina tija gani kwa nchi yetu kama sio uhuni na ubabe wa Rais Magufuli tu?Polisi walishakri kuhusika na mauaji ya Akwilina na walishafutiwa mashtaka lakini kesi WAMEBAMBIKIWA VIONGOZI WA
CHADEMA ILI KUWAKOMOA TU!
Wakti jirani zetu wa Kenya wanatafuta mwafaka na umoja wa kitaifa kupitia BBI sisi Tanzania ndo kwanza CCM wanaweka mikakati ya kuhakikisha Upinzani unakufa kwa gharama yoyote!
 
Magufuli amenifumbua macho kuwa hakuna Mungu maana anafanya vitendo vya hovyo kabisa bila kumuogopa Mungu
Nakuhakikishia kuwa Mungu yupo na ni lazima atatenda jambo kwa Magufuli katika muda muafaka, ambao sisi binadamu hatuujui

Maandiko ya kitabu kitakatifu cha Biblia yanasema kuwa Mungu ni wa haki, na mradi tu Magufuli hatendi haki katika utawala wake, ni LAZIMA tu atashughukikiwa
 
Bado Neno la Mungu linasema:" KISASI NI CHA MUNGU" ! Warumi 12:19
Mungu atalipa kisasi kwa maovu yote anayowafanyia Watz hasa vyama pinzani na wanao mkosoa!
 
Mungu yupo kazini bado anampa Magufuli muda wa TOBA…!
God is still watching Magufuli from a distance! It's just a matter of time…!
Siamini kama anamuamini Mungu huyu kwani amevaa hirizi ya kibudhaa mkononi! Mungu na hirizi hawaendani!
 
Hii kesi ni miongoni mwa kesi za hovyo inayoharibu umoja wa taifa letu. Kuna mtawala anakwenda kanisani kupokea mwili wa Kristu kwamba ana moyo safi, hana mawaa.

Ndugu yangu Mtz, hata Judas Iskariote alitembea na Yesu na alipokea mwili wa Kristu lakni mwisho wa siku ALI MSALITI YESU! Magufuli anabeba tabia zote za Judas…!
 
Hivi kesi hii ina tija gani kwa nchi yetu kama sio uhuni na ubabe wa Rais Magufuli tu?Polisi walishakri kuhusika na mauaji ya Akwilina na walishafutiwa mashtaka lakini kesi WAMEBAMBIKIWA VIONGOZI WA
CHADEMA ILI KUWAKOMOA TU!
Wakti jirani zetu wa Kenya wanatafuta mwafaka na umoja wa kitaifa kupitia BBI sisi Tanzania ndo kwanza CCM wanaweka mikakati ya kuhakikisha Upinzani unakufa kwa gharama yoyote!
Usifananishe uongozi uliopo Kenya na vitu vya kijinga.
 
Mpinda alilia sana kipindi albino walvokua wanaiawa Leo hii viongoz wanashanglia mauaji izi zama zngne kwel
 
hivi hakuna BAVICHA member wa kuripoti mojakwamoja juu ya examination za viongozi wao hadi tuletewe na Lumumba tuweni serious vijana
 
Kama ni hivyo Naibu Waziri TAMISEMI aunganishwe kwenye kesi! Nadhani hana kinga yo yote kikatiba.
 
Hivi kesi hii ina tija gani kwa nchi yetu kama sio uhuni na ubabe wa Rais Magufuli tu?Polisi walishakri kuhusika na mauaji ya Akwilina na walishafutiwa mashtaka lakini kesi WAMEBAMBIKIWA VIONGOZI WA
CHADEMA ILI KUWAKOMOA TU!
Wakti jirani zetu wa Kenya wanatafuta mwafaka na umoja wa kitaifa kupitia BBI sisi Tanzania ndo kwanza CCM wanaweka mikakati ya kuhakikisha Upinzani unakufa kwa gharama yoyote!
Kupotezeana muda tu
 
Magufuli amenifumbua macho kuwa hakuna Mungu maana anafanya vitendo vya hovyo kabisa bila kumuogopa Mungu
Naam, bila kumuogopa Mungu na mbele ya Mungu.
Halafu wale "watumishi wa madhabahu" wa ikulu kila siku wanasema huyu ndiye yule tuliyekuwa tukimtegemea!
 
Hivi kesi hii ina tija gani kwa nchi yetu kama sio uhuni na ubabe wa Rais Magufuli tu?Polisi walishakri kuhusika na mauaji ya Akwilina na walishafutiwa mashtaka lakini kesi WAMEBAMBIKIWA VIONGOZI WA
CHADEMA ILI KUWAKOMOA TU!
Wakti jirani zetu wa Kenya wanatafuta mwafaka na umoja wa kitaifa kupitia BBI sisi Tanzania ndo kwanza CCM wanaweka mikakati ya kuhakikisha Upinzani unakufa kwa gharama yoyote!

Kuna upinzani au kuna wachumia tumbo tu? bora ufe uje upinzani wa kweli. Upinzani huu uliokuwa unahongwa na kina Kinana na Mkono si upinzani lolote. Upinzani gani kiongozi mkuu wa upinzani wasifu wake haujulikani lakini bado aliweza kugombea Urais. Bora kaole iishe, upinzani wa uchungu, upinzani usio wa kupiga deal uje!
 
Back
Top Bottom