Sijijui
JF-Expert Member
- Jan 14, 2018
- 7,877
- 8,804
alimaliza Mkwawa secondary schoolHumjui Mbowe, hujui lolote kumhusu, ukipata huo ufunguo wa Pandora box angalau, unafanyaje maamuzi wakati huna taarifa sahihi? Ulisikia wapi duniani, kiongozi mkuu was taasisi, aliyewahi kugombea urais wa nchi taarifa zake kuhusu alipopita kupata basic education hazifahamiki? Katika system approach, input INA determine output. Katika machine uweke mahindi ili itokee lami? Never.
Mbowe alimalizia shule gani kidato cha NNE, andika jina tu, usilete input wala output, jima LA shule tu basi