johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mmoja wa watuhumiwa wa kesi inayowakabili viongozi wa Chadema Mchungaji Peter Msigwa amesema katika mkutano wa kufunga kampeni za uchaguzi wa Mbunge wa Kinondoni katika viwanja vya Buibui alikuwepo pia Naibu Waziri wa TAMISEMI Mh Mwita Waitara.
Baada ya kumalizika mkutano huo viongozi hao wa Chadema walifanya safari ya kwenda ofisini kwa msimamizi wa uchaguzi na wakiwa njiani risasi ilipigwa na kumuua mwanafunzi wa NIT Akwilina (RIP).
Mchungaji Msigwa ametoa maelezo hayo alipoanza kutoa utetezi wake mbele ya Hakimu Simba wa Mahakama ya Kisutu.
Source: ITV habari
Nakuhakikishia kuwa Mungu yupo na ni lazima atatenda jambo kwa Magufuli katika muda muafaka, ambao sisi binadamu hatuujuiMagufuli amenifumbua macho kuwa hakuna Mungu maana anafanya vitendo vya hovyo kabisa bila kumuogopa Mungu
Magufuli amenifumbua macho kuwa hakuna Mungu maana anafanya vitendo vya hovyo kabisa bila kumuogopa Mungu
Nakuhakikishia kuwa Mungu yupo na ni lazima atatenda jambo kwa Magufuli katika muda muafaka, ambao sisi binadamu hatuujui
Maandiko ya kitabu kitakatifu cha Biblia yanasema kuwa Mungu ni wa haki, na mradi tu Magufuli hatendi haki katika utawala wake, ni LAZIMA tu atashughukikiwa
Pale nyumbani kwenu! Stigma haikuongezei damu Wala kitambi! Heshimu kazi za wengine ewe Bibi kizee!Huyu mchungaji mihogo anakanisa wapi?
State agent
Siamini kama anamuamini Mungu huyu kwani amevaa hirizi ya kibudhaa mkononi! Mungu na hirizi hawaendani!Mungu yupo kazini bado anampa Magufuli muda wa TOBA…!
God is still watching Magufuli from a distance! It's just a matter of time…!
Hii kesi ni miongoni mwa kesi za hovyo inayoharibu umoja wa taifa letu. Kuna mtawala anakwenda kanisani kupokea mwili wa Kristu kwamba ana moyo safi, hana mawaa.
Je, unajua kwamba mwili wako ni hekalu(kanisa)la Mungu?Huyu mchungaji mihogo anakanisa wapi?
State agent
Usifananishe uongozi uliopo Kenya na vitu vya kijinga.Hivi kesi hii ina tija gani kwa nchi yetu kama sio uhuni na ubabe wa Rais Magufuli tu?Polisi walishakri kuhusika na mauaji ya Akwilina na walishafutiwa mashtaka lakini kesi WAMEBAMBIKIWA VIONGOZI WA
CHADEMA ILI KUWAKOMOA TU!
Wakti jirani zetu wa Kenya wanatafuta mwafaka na umoja wa kitaifa kupitia BBI sisi Tanzania ndo kwanza CCM wanaweka mikakati ya kuhakikisha Upinzani unakufa kwa gharama yoyote!
Kupotezeana muda tuHivi kesi hii ina tija gani kwa nchi yetu kama sio uhuni na ubabe wa Rais Magufuli tu?Polisi walishakri kuhusika na mauaji ya Akwilina na walishafutiwa mashtaka lakini kesi WAMEBAMBIKIWA VIONGOZI WA
CHADEMA ILI KUWAKOMOA TU!
Wakti jirani zetu wa Kenya wanatafuta mwafaka na umoja wa kitaifa kupitia BBI sisi Tanzania ndo kwanza CCM wanaweka mikakati ya kuhakikisha Upinzani unakufa kwa gharama yoyote!
Naam, bila kumuogopa Mungu na mbele ya Mungu.Magufuli amenifumbua macho kuwa hakuna Mungu maana anafanya vitendo vya hovyo kabisa bila kumuogopa Mungu
Hivi kesi hii ina tija gani kwa nchi yetu kama sio uhuni na ubabe wa Rais Magufuli tu?Polisi walishakri kuhusika na mauaji ya Akwilina na walishafutiwa mashtaka lakini kesi WAMEBAMBIKIWA VIONGOZI WA
CHADEMA ILI KUWAKOMOA TU!
Wakti jirani zetu wa Kenya wanatafuta mwafaka na umoja wa kitaifa kupitia BBI sisi Tanzania ndo kwanza CCM wanaweka mikakati ya kuhakikisha Upinzani unakufa kwa gharama yoyote!