Mchungaji Msigwa yuko live Star tv asema alishawishiwa na Augustino Mrema kuingia kwenye siasa

Mchungaji Msigwa yuko live Star tv asema alishawishiwa na Augustino Mrema kuingia kwenye siasa

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mchungaji Msigwa ambaye ni mbunge wa Iringa mjini amesema alishawishiwa na mgombea urais wa TLP mwaka 2000 kuingia kwenye siasa.

Up dates;

Mchungaji Msigwa anasema baada ya kumpigia kampeni Mrema aliachana na siasa na kujikita kwenye mambo ya Kanisa.
Mwaka 2005 Chadema walimwomba agombee udiwani kata ya Gangilonga lakini mzee Mrema alimwambia level yake siyo udiwani ila ubunge hivyo akagombea ubunge ambapo aligaragazwa na mama Monica Mbega.
 
abrakadabra 2pu

huku mitaani kuna magonjwa ya C19 aonyeshe ile miujiza yake ya kufufua kwa kuwaponya
 
Back
Top Bottom