johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Nakumbuka mchungaji Mtikila alivyopiganiwa na wafuasi wake kila mahali wakati akidai katiba na ile iliyoitwa serikali ya Tanganyika.
Mtikila alikuwa na wafuasi wachache lakini walimpigania.
Chadema wanaojiita chama kikuu cha upinzani ni wakimya sana wanataka katiba mpya bila kuwa na mipango.
Katiba ni jambo kubwa kuliko ukubwa wa Chadema.
Mungu ampe wepesi Freeman Mbowe.
Nawatakia Dominica yenye baraka!