johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Umehalalisha uoga wenu kwa maneno tamu tamu, cowards!!Hakuna mtu wa CCM mwenye akili za ku analyse vitu. Angalia utumbo ulioandika bila analysis.
Mtikila aliishi enzi za amani wakati Tanzania haijawa na Idd Amin cum Jiwe. Yeye na wafuasi wake hawakuwa na hofu ya kupotezwa, kutekwa, kubambikiwa kesi na uchafu wote ambao ulifanywa na Jiwe na sasa Samia. Hawakuhofia uhai wao kama ilivyo sasa. Zilikuwa ni siasa zenye afadhali (ingawa hazikuwa za haki kiasi hicho).
Inahitaji moyo mkubwa kujipeleka kwenye Risasi unless uko kwenye vita. Mbowe anapendwa sana na kupiganiwa sana. Lakini kwenye utekaji, upotezwaji, ubambikiwa kesi, detention without due course LAZIMA KUCHUKUA TAHADHALI.
SIDHANI KAMA NI BUSARA KUWA DEAD HERO!
Mtu hawezi kuitwa dikteta hata miezi 6 hajamaliza akiwa madarakani, hii inonesha jinsi gani nyie jamaa ni wakurupukaji!!In a democratic state Katiba si jambo kubwa. Linakuwa kubwa kwa sababu ya udikiteita wa Samia. Akiacha demokrasia ichukue mkondo wake, ni jmbo dogo. Ubabe wa Samia ndio unaleta ugumu wa Katiba
Hakuna Rais aliyekuwa mbabe dhidi ya upinzani kumzidi Ben Mkapa bwashee.Hakuna mtu wa CCM mwenye akili za ku analyse vitu. Angalia utumbo ulioandika bila analysis.
Mtikila aliishi enzi za amani wakati Tanzania haijawa na Idd Amin cum Jiwe. Yeye na wafuasi wake hawakuwa na hofu ya kupotezwa, kutekwa, kubambikiwa kesi na uchafu wote ambao ulifanywa na Jiwe na sasa Samia. Hawakuhofia uhai wao kama ilivyo sasa. Zilikuwa ni siasa zenye afadhali (ingawa hazikuwa za haki kiasi hicho).
Inahitaji moyo mkubwa kujipeleka kwenye Risasi unless uko kwenye vita. Mbowe anapendwa sana na kupiganiwa sana. Lakini kwenye utekaji, upotezwaji, ubambikiwa kesi, detention without due course LAZIMA KUCHUKUA TAHADHALI.
SIDHANI KAMA NI BUSARA KUWA DEAD HERO!
Chadema ni wepesi sana.Umehalalisha uoga wenu kwa maneno tamu tamu, cowards!!
Magufuli alikuwa Muuaji while mkapa was not. Kukisha kuwa na mauaji, then people have to take precaution in their struggle for "Independence"Hakuna Rais aliyekuwa mbabe dhidi ya upinzani kumzidi Ben Mkapa bwashee.
Magufuli hakuwa mbabe ila aliukuta upinzani legelege.
Kwaheri! maana nimeshajua level yako ya thinking by this responseMtu hawezi kuitwa dikteta hata miezi 6 hajamaliza akiwa madarakani, hii inonesha jinsi gani nyie jamaa ni wakurupukaji!!
Huyu CCM anadhani watu wamesahau ya akwilina, tumepewa akili kutumia kablaya kufanya jambo/Hakuna mtu wa CCM mwenye akili za ku analyse vitu. Angalia utumbo ulioandika bila analysis.
Mtikila aliishi enzi za amani wakati Tanzania haijawa na Idd Amin cum Jiwe. Yeye na wafuasi wake hawakuwa na hofu ya kupotezwa, kutekwa, kubambikiwa kesi na uchafu wote ambao ulifanywa na Jiwe na sasa Samia. Hawakuhofia uhai wao kama ilivyo sasa. Zilikuwa ni siasa zenye afadhali (ingawa hazikuwa za haki kiasi hicho).
Inahitaji moyo mkubwa kujipeleka kwenye Risasi unless uko kwenye vita. Mbowe anapendwa sana na kupiganiwa sana. Lakini kwenye utekaji, upotezwaji, ubambikiwa kesi, detention without due course LAZIMA KUCHUKUA TAHADHALI.
SIDHANI KAMA NI BUSARA KUWA DEAD HERO!
Weka uchaguzi huru na haki tupate jibu. Wepesi mnawaua, mnawapoteza, mnawabambikia kesi,.. kumbe aliki yako takataka! Mwepesi unatumia TISS, polisi etc etcChadema ni wepesi sana.
Mbwembwe zao ni mitandaoni tu!
Hahaha, too low! BTW Shikamoo, kuna siku ulisimulia mambo ya 1980s humu....Kwaheri! maana nimeshajua level yako ya thinking by this response
Wewe si ulisema umeachana na siasa?Magufuli alikuwa Muuaji while mkapa was not. Kukisha kuwa na mauaji, then people have to take precaution in their struggle for "Independence"
Give me a quote of your allegation , evidence....... wapi nilisema hivyoWewe si ulisema umeachana na siasa?
Mkuu umeongea vizuri sana. Hongera kwa comment hii.Hakuna mtu wa CCM mwenye akili za ku analyse vitu. Angalia utumbo ulioandika bila analysis.
Mtikila aliishi enzi za amani wakati Tanzania haijawa na Idd Amin cum Jiwe. Yeye na wafuasi wake hawakuwa na hofu ya kupotezwa, kutekwa, kubambikiwa kesi na uchafu wote ambao ulifanywa na Jiwe na sasa Samia. Hawakuhofia uhai wao kama ilivyo sasa. Zilikuwa ni siasa zenye afadhali (ingawa hazikuwa za haki kiasi hicho).
Inahitaji moyo mkubwa kujipeleka kwenye Risasi unless uko kwenye vita. Mbowe anapendwa sana na kupiganiwa sana. Lakini kwenye utekaji, upotezwaji, ubambikiwa kesi, detention without due course LAZIMA KUCHUKUA TAHADHALI.
SIDHANI KAMA NI BUSARA KUWA DEAD HERO!
Yes, that is true but not kuacha siasa. Nimeona reasoning yako ni ya too low training mwanangu!Hahaha, too low! BTW Shikamoo, kuna siku ulisimulia mambo ya 1980s humu....
Tuliza munkari johnNakumbuka mchungaji Mtikila alivyopiganiwa na wafuasi wake kila mahali wakati akidai katiba na ile iliyoitwa serikali ya Tanganyika.
Mtikila alikuwa na wafuasi wachache lakini walimpigania.
Chadema wanaojiita chama kikuu cha upinzani ni wakimya sana wanataka katiba mpya bila kuwa na mipango.
Katiba ni jambo kubwa kuliko ukubwa wa Chadema.
Mungu ampe wepesi Freeman Mbowe.
Nawatakia Dominica yenye baraka!
Weka uchaguzi huru na haki tupate jibu. Wepesi mnawaua, mnawapoteza, mnawabambikia kesi,.. kumbe aliki yako takataka! Mwepesi unatumia TISS, polisi etc etc
Wewe unafikiri kwa kutumia ile kitu. Au unaujua ukweli ila ni hiyo akili mbov tu.Mshindwe mara ngapi,Watanzania wamewapuuza