Mchungaji Mtikila alisema Kikwete ni Gaidi na akashinda ile kesi

Mchungaji Mtikila alisema Kikwete ni Gaidi na akashinda ile kesi

Hakuna mtu ambaye alikuwa haogopi kuwatukana viongozi kama Mtikila!
 
Mtikila alishindwa kulipa mkopo nyumba yake ikapigwa mnada. Mhindi akainunua.
Mtikila akawa yupo pale anasikitika.
Halafu yule Mhindi aliyeinunus nyumba yake akasema,"Tikila,chukua nyumba yako."
Mtikila akarudishiwa nyumba yake.
 
Back
Top Bottom