S sysafiri JF-Expert Member Joined Sep 19, 2019 Posts 6,845 Reaction score 10,071 Jan 31, 2025 #21 Hakuna mtu ambaye alikuwa haogopi kuwatukana viongozi kama Mtikila!
Poppy Hatonn JF-Expert Member Joined Apr 9, 2021 Posts 3,095 Reaction score 4,632 Jan 31, 2025 #22 Mtikila alishindwa kulipa mkopo nyumba yake ikapigwa mnada. Mhindi akainunua. Mtikila akawa yupo pale anasikitika. Halafu yule Mhindi aliyeinunus nyumba yake akasema,"Tikila,chukua nyumba yako." Mtikila akarudishiwa nyumba yake.
Mtikila alishindwa kulipa mkopo nyumba yake ikapigwa mnada. Mhindi akainunua. Mtikila akawa yupo pale anasikitika. Halafu yule Mhindi aliyeinunus nyumba yake akasema,"Tikila,chukua nyumba yako." Mtikila akarudishiwa nyumba yake.
K kibobori mahoro JF-Expert Member Joined Dec 12, 2022 Posts 7,452 Reaction score 10,785 Feb 5, 2025 #23 Huenda ujasiri wake ndio chanzo cha kifo chake.