Mchungaji Mtikila (RIP) alikuwa na wazo zuri kuuchukua Mwenge na kwenda kuutupa katikati ya bahari

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
2,268
Reaction score
7,119
Huwezi kuwa na lidubwana kama hili alafu ukasumbua watoto wa watu kutoka mashuleni kuanzia asubuhi hadi jioni hii.

Hii imetokea Chato watoto wanachukuliwa mashuleni na kupelekwa Muungano kusubria Mwenge bila chakula na maji ya kunywa.
 
Ushirikina huo
 
Back
Top Bottom